Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
1 mPlus bajeti ya mishangaz maana dodoma kuna baridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1 mPlus bajeti ya mishangaz maana dodoma kuna baridi
Mkuu app kwako inafungukaEngineers tu wote hali tete....kwa mbaali civil wanazingatiwa...
Yaani upo kinyonge tupia mavimuli muli mkuu unaumwa nn?kuna pdf
Naenda kabisa na godoro, nitalala makulu kwenye kanisa au msikiti mpaka kielewekeAndaa nauli ya kutosha
Mm nna received 2 ila naziwazia ntaendaje mana hata nauli sina, ila kwakuwa usaili n mwakan ngoja tuone mambo yatakavyokwenda 😎Ndio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1
Mwakan tenaMm nna received 2 ila naziwazia ntaendaje mana hata nauli sina, ila kwakuwa usaili n mwakan ngoja tuone mambo yatakavyokwenda 😎
kuna pdf
We mwakani ni mbali mkuuMm nna received 2 ila naziwazia ntaendaje mana hata nauli sina, ila kwakuwa usaili n mwakan ngoja tuone mambo yatakavyokwenda 😎
Ndio ndio mkuu, mpaka mambo ya afya na ualimu wamalizane nayo hapo n mwaka huu unaisha.Mwakan tena
Mbona karibu tuu hapo, Septemba h ishaishaWe mwakani ni mbali mkuu
Mim mpk sasa nina received 28..oral moja alaf shortlist ya kwanza tu ni oral direct....Ndio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1
Mkuuu amini lazima utoboe kati ya moja ya hizo lazima ukipiga back to back mpaka wasaili watachoka ata ka hujui we faulu written tuMim mpk sasa nina received 28..oral moja alaf shortlist ya kwanza tu ni oral direct....
Nauli zinatumika sana itafikia mahali konda wa bus anakukariri anakuita staff unakaa mbele pale kwenye engine😀😀😀
Hehehee wakikuona wanauliza..you againMkuuu amini lazima utoboe kati ya moja ya hizo lazima ukipiga back to back mpaka wasaili watachoka ata ka hujui we faulu written tu
Wanakuuliza, eh yn mpaka leo hujapata kazi tuu 😂Hehehee wakikuona wanauliza..you again
Ukipiga zote hizo mpaka oral afu ukikosa hata moja, aisee hapo itabidi urudi nyumbani kwa wazazi ukalambe mchangaMim mpk sasa nina received 28..oral moja alaf shortlist ya kwanza tu ni oral direct....
Nauli zinatumika sana itafikia mahali konda wa bus anakukariri anakuita staff unakaa mbele pale kwenye engine😀😀😀
Kuna taasisi nimepania lkn sijui kama interview itanikuta bado joblessUkipiga zote hizo mpaka oral afu ukikosa hata moja, aisee hapo itabidi urudi nyumbani kwa wazazi ukalambe mchanga
Cha msingi ni check namba tuu kwanzaKuna taasisi nimepania lkn sijui kama interview itanikuta bado jobless