Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

HIki kigezo cha umri kwa baadhi ya taasisi kipitiwe upya....naona TFS na kuna kigezo cha umri
Sio fair kabisa kwa jobless imagine kwa tuliomaliza miaka mitano nyuma tunashindwa kuomba eti sababu ya umri
 
utumishi watatutoa damu aisee kama vipi tuapply majumbani mwetu kazi za ndani tu 🤣 🤣
Dah! Jana wakati naenda kibaruani kwangu wakati napita ile njia ya ubungo nilipofika usawa wa lile jengo la TCRA nikajikuta naangalia lile jengo weee mwisho nikajisemea mwenye hizi ni dalili mbaya za afya ya akiri 😂😂😂
 
Utumishi "hili joto mnalotupitisha jobless ni zaidi ya 100°c alafu mkumbuke Umri na kwenye Familia ndo hivyo wanakuangalia jobless .....
Tupeni Faraja jobless tuliopambana mpaka hatua ya mwisho katika michakato yenu ya Ukandaji ......
 
Tunaweza kuwa tunasubiri kumbe interns wameshapewa mkataba kimya kimya....
Maana vigogo wengi wanaforce hili jambo litokee...
 
Hii mpka unapata kazi basi unajikuta umepata na vidonda vya tumbo kwa ajiri ya stress na stress zinazid kwa tulio kwenye database na unaona siku zinakata alafu mambo bado kimyaaa tu..
 
Tunaweza kuwa tunasubiri kumbe interns wameshapewa mkataba kimya kimya....
Maana vigogo wengi wanaforce hili jambo litokee...

Na wanalipambania kweli kweli si unaona kwenye sector za ulinzi na usalama washatoa kile kigezo cha kua na cheti cha jkt ili watoto wao mayai mayai waliokimbia mziki wa kwenda jkt wapate nao nafasi. Kwahyo hata ili kuna namna wanalipambania sana..
 
Kuna mda unakutana na jamaa yako aliyezinguaga std7 na kuamua kua dereva wa bodaboda unamuona namna alivyokupiga gape kimaisha, ww umelundika vyeti tu ndani uku kila kukicha unapewa mikando tuu na hata ukiingia database nako kama vile awakuoni. 😂😂😂
 
Na wanalipambania kweli kweli si unaona kwenye sector za ulinzi na usalama washatoa kile kigezo cha kua na cheti cha jkt ili watoto wao mayai mayai waliokimbia mziki wa kwenda jkt wapate nao nafasi. Kwahyo hata ili kuna namna wanalipambania sana..
Karata vigogo waliocheza mwaka jana kwa Mama kupigania intern(watoto wao) waingie kwenye system bila interview( TRA NA NSSF )wamefanikiwa hilo lengo lao mapema sanaa.....
 
Back
Top Bottom