Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤔🤔🤔🤔🤔
At least walimj wamepata nafasi ya kujiandaa zaid kuliko afya muda huu wautumie kujiandaa vzr maana mtihani ni fumbo
🤔🤔🤔🤔
Hivi kwani tetesi zinasemaje PDF la afya?
 
Ila kusema ukweli haya majamaa ya utumishi yanatunyoosha mzee , hivi sisi huwa hata tuna database kweli fani yetu hii ninyi wazee Rahsully na El marabiosh ?
Mimi taa nyekundu ishawaka kichwani aisee ,maana si kwa kusubiri huku ,majamaa yanatuchunia sana .
Yaani kwa hii rate ya Placement moja kila baada ya pdf kumi ,aisee hii sio kabisa , Mungu afanye miracle tu aisee ..,la sivyo hali mbaya mno .
new.gif
 
Back
Top Bottom