Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hatimaye miezi miwili tunamaliza tukiwa ba pdf 5.

Wakati mwezi wa saba PDF zilikuwa 15.

Tusuache kuswali wakuu
 
Wakuu

Nimelamba asali nashukuru sana kwa michango yenu yote umu ndani

Status selected for oral both web and app

Safari haikuwa rahisi niliingia mara ya kwanza oral nilikandwa ila hii ya pili nimetoboa

Mungu mwm.
Niliikosa hii, hongera sana, wewe ni miongoni mwa wengi ninao waombea kheri humu ndani.

Nenda ukafanikiwe.
 
Back
Top Bottom