Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mafanikio yamejificha kwenye muda, ni hivi uamini usiamini ipo siku utapokea habari njema sana na the rest will be the story.

Ni kuzidi kumtumaini Mungu na ukiona unasababu ya kukata tamaa jipe moyo wa kupambana zIdi maana haupo mbali kufanikiwa.
Na kujituma mkuu husomi unataka ufaulu interview umekuwa SHAHIDI WA YEHOVA?? unasona slide 5 kweli
 

Attachments

  • IMG-20241014-WA0010.jpg
    IMG-20241014-WA0010.jpg
    59.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom