Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi wakuu Kuna post ilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post ki kimya
 
Kafanye interview, mbona siku zote tunaambizana hapa na unajua hilo ila unataka tuanze kukupa nasaha tena.
Hata mimi huyu kanoshangaza kila siku tunaimba na watu hapa kuwa hata nafasi ikiwa moja hakikisha unaenda usikose interview….cha msingi ni kuingia oral…aende akalale hata stand ….aache kulialia dunia sio ya watu wanaotafuta visingizio…yani nafasi 28 mtu akache aiseee nitasikitika sana
 
Hivi wakuu Kuna post ilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post ki kimya
Itakua walishapata mtu iyo
 
Kwa hyo received ina mwaka na mwezi mmoja.
 
Interview zina anza saa ngapi maana izo saa 1 walizo weka itanibidi nilale karbu sana 😅
 
Interview zina anza saa ngapi maana izo saa 1 walizo weka itanibidi nilale karbu sana [emoji28]
Saa 1 ni muda kufika tu, baada ya hapo patakuwa na ukaguzi ambao utachukua muda kulingana na idadi ya watu.

Wala usitishike kuhusu huo muda
 
Ndugu zanguni! Wakati watu wanatoa shuhuda humu nilikua nahisi haiwezekani, safari ilikua ndefu sana written za kutosha na oral mbili plus kukosa oral! Hatimaye wakati wa Mungu wakati sahihi umenifikia! Database imeniona nilifanya oral ya mwsho february! Na post ilihitaji watu wawili tu tukaitwa 15! Naomba msiache kujaribu na msikate tamaa wapambanaji! Ikawe heri kwenu pia siku moja ndugu zangu!
Halafu mnawasumbua UTUMISHI, wanawafanyisha usaili, mkipangiwa vituo vya kazi, hamtaki kwenda, wote mnataka mbaki DSM, acheni hizo aiseeh
 
Hata mimi huyu kanoshangaza kila siku tunaimba na watu hapa kuwa hata nafasi ikiwa moja hakikisha unaenda usikose interview….cha msingi ni kuingia oral…aende akalale hata stand ….aache kulialia dunia sio ya watu wanaotafuta visingizio…yani nafasi 28 mtu akache aiseee nitasikitika sana
Naenda mkuu, siwez kuacha.
 
Day 1 Dar na Moro
Day 2 Dodoma na Tanga
Day 3 Pwani na Arusha
Day 4 Kigoma,Iringa na Mbeya
Day 5 (kesho) ?

Wazee wanaosubiria asali ya Tamisemi tucheze na mikeka kidogo
 
Back
Top Bottom