Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hiyo Editor II naona watu ni 625....pia Kuna mitihani mitatu (written , practical na Oral)

Je kwa wenye uzoefu hii inamaanisha hiyo written tutafanya ya karatasi?
 
Nimeshabadilisha address yangu sasa inasomeka nipo mkoa wa Songwe. Wakiita usaili tutafutane, Tupo Zambia huku tunasaka fursa. Tarehe 23-24 naingia Eswatini.

Tuendelee kupambana mpaka mwisho. Hakuna kukata tamaa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240824-194631.png
    Screenshot_20240824-194631.png
    60.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240824-194643.png
    Screenshot_20240824-194643.png
    89 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240824-194654.png
    Screenshot_20240824-194654.png
    95.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240824-194722.png
    Screenshot_20240824-194722.png
    91.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240824-194736.png
    Screenshot_20240824-194736.png
    104.3 KB · Views: 6
Nimeshabadilisha address yangu sasa inasomeka nipo mkoa wa Songwe. Wakiita usaili tutafutane, Tupo Zambia huku tunasaka fursa. Tarehe 23-24 naingia Eswatini.

Tuendelee kupambana mpaka mwisho. Hakuna kukata tamaa.
Pambania kombe huko Zambia ,achana na hizi takataka za utumishi ,ni kupoteza muda .
Pambania kombe huko huko Mungu atafungua njia .
 
Back
Top Bottom