Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Mwezi wa 12 aalimu lini zamu yetu?Waalimu lini zamu yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi wa 12 aalimu lini zamu yetu?Waalimu lini zamu yetu?
Ila bado naona kuna mkeka mwingine upo wa mwezi wa nane hawaja ita watu pia, jamaa mambo yame kuwa mengi sana miez mitano mpaka sita hatma haijulikani..🤔Tulio apply mwezi wa 8 wameanza kutuita interview huko.
Hivi wakiandika salary scale TAA3.1 inaweza fika kiasi gani mkuu..?Mkaongeze Received hapo TAA.
Japokua nafasi mlizotangaza mwezi wa 8 Interview bado. Sekretarieti ya Ajira
Zingatia uwe umepitia Apro management course.......Mkaongeze Received hapo TAA.
Japokua nafasi mlizotangaza mwezi wa 8 Interview bado. Sekretarieti ya Ajira
Zile za mwezi wa 8 nazisubiri kwa hamu nikatest mitambo kwa mara ya kwanza.Mkaongeze Received hapo TAA.
Japokua nafasi mlizotangaza mwezi wa 8 Interview bado. Sekretarieti ya Ajira
Mkuu Mwifwa hii ni sahihi....usaili wa mchujo huwa ni paper (karatasi badala ya aptitude) ?Hiyo Editor II naona watu ni 625....pia Kuna mitihani mitatu (written , practical na Oral)
Je kwa wenye uzoefu hii inamaanisha hiyo written tutafanya ya karatasi?
Hii post inahitaji watu wangap??Hiyo Editor II naona watu ni 625....pia Kuna mitihani mitatu (written , practical na Oral)
Je kwa wenye uzoefu hii inamaanisha hiyo written tutafanya ya karatasi?
Inahitaji watu watatuHii post inahitaji watu wangap??
Una hilo tangazo mkuuInahitaji watu watatu
Post ni 2Una hilo tangazo mkuu
Tuone duties and responsibilities
Pambania kombe huko Zambia ,achana na hizi takataka za utumishi ,ni kupoteza muda .Nimeshabadilisha address yangu sasa inasomeka nipo mkoa wa Songwe. Wakiita usaili tutafutane, Tupo Zambia huku tunasaka fursa. Tarehe 23-24 naingia Eswatini.
Tuendelee kupambana mpaka mwisho. Hakuna kukata tamaa.
Shukran sana mkuuPost ni 2
La kina nani?kuna pdf uko