BOT ni taasisi kubwa natumaini wamefanya research kabla ya kuamua kuset hicho kigezo alafu sio lzm kufanya kazi zenye GPA kubwa taasisi kibao tena ni za gvt hazi zingatii GPA wengine watafanya kaz hukoLazima tu criticise ili kuongeza kazi ya ufanisi na ubunifu daima hili taifa ni letu sote kulijenga kama watanzania.