kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kwamba wewe tu ndio wa kwanza kupita utumishi mpaka uwe na harakaa?Punguza kiwango cha ufala mkuu, kitu km hakijakugusa haujui kinauma kiasi gani wewe unaweza kusubiria interview mwaka mzima?
Interview tu unalia,utumishi wa umma utauweza kweli?