Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Punguza kiwango cha ufala mkuu, kitu km hakijakugusa haujui kinauma kiasi gani wewe unaweza kusubiria interview mwaka mzima?
Kwamba wewe tu ndio wa kwanza kupita utumishi mpaka uwe na harakaa?
Interview tu unalia,utumishi wa umma utauweza kweli?
 
Fact yanyoko wewe matakoyako mnatia hasira nyinyi viazi ndio mnafanya hao wahuni wanabweteka

Tuliza panic jobless mwenzangu, SI Kila lawama ni za PSRS . Lawama peleka kwa tahasis usika kwa kutokua na uharaka kwa watu wao.

Ngojea nikuulize kitu jobless mwenzangu:
1).iv unadhani bila ya PSRS zile post za TCRA tungeweza ata kuziona?
2).iv unadhani bila ya PSRS zile post za BOT ungeweza ziona?

PSRS imejitahid sana kuleta usawa wa ajira hasa kwa sisi ambao hatuna connection uko juu.

Simaanishi PSRS awana mapungufu la hasha, ila namaanisha ni mkombozi sana kwetu tusiokua na connection katika kupata ajira na kuchelewa kuitwa kwenye interview ni tahasis husika na sio PSRS.
 
MDAs & LGAs unawajua ni akina nani? Huu unatoboa mwaka unakatika mtu ameombwa interview ipo pending tu
 
Ukisha fanya oral inabidi uwe unafatiria kila PDF ? au kuna njia nyingine ya kujua umepata kazii
 
1.Fuatilia PDF.
2.Usikae mbali na huu uzi.
3. Uwe na Anuani inayofanya kazi na uwe unapita posta mara kwa mara.
 
MDAs & LGAs unawajua ni akina nani? Huu unatoboa mwaka unakatika mtu ameombwa interview ipo pending tu

Ukiona ivyo ni huitaji wa tahasisi usika sio wa haraka, mfano Mimi Kuna tahasisi niliomba mwezi wa 10 na nyengine mwezi wa 8 ya mwezi wa 10 nimeitwa na kupiga paper tayri ila Ile ya mwezi wa 8 mpka mda huu bado sijaitwa hapo utasema tatizo ni PSRS? Hata izo za MDAs &LGAs nazo ni ivyo ivyo pia.
 
Hao MDAs & LGAs watu hawataki kustaafu huko ndio maana muda unaenda itakata 2025 hakuna interview
 
Wazee wanaoshtukia kua wanatakia kujenga kukiwa kumebakia week Moja ku stahafu sio? Hapo lazima aombe dk za nyongeza..
Wamekalia viti baada wapishe wengine wahudumiwe ushafika umri wa kustaafu staafu kwa hiari sio unalazimisha kubakia kazini kuna vijana wengi mtaani huku ajira wanazitaka hizo sasa mzee miaka 55 mpaka 60 kakomaa tu anataka atoboe mpaka 65 huko 70 staafu wewe mzee
 
MDA&LGA Wamefanya juzi ukiondoa Account Diploma na degree naona kuna nyomi la watu database ...
Hao vipengele vingi sana yaan nyomi lake kiboko kuna watu wamewekwa pending mpaka mwaka umetoboka wapi hakuna kitu
 
Wamekalia viti baada wapishe wengine wahudumiwe ushafika umri wa kustaafu staafu kwa hiari sio unalazimisha kubakia kazini kuna vijana wengi mtaani huku ajira wanazitaka hizo sasa mzee miaka 55 mpaka 60 kakomaa tu anataka atoboe mpaka 65 huko 70 staafu wewe mzee

Alafu wengi wao wanakuaga vichomi sana ukikutana navyo kazini. 😀😀
 
Ndio wastaafu tu na Serikali ishushe umri wa kustaafu sio 60 tena ivutwe vutwe hata 50 walau ukishafanya yako ukifika 50 kapumzike fanya mengine wapishe vijana sio wewe mpaka miaka 75 unataka uwe kazini
 
Iv practicle za upishi uwa wnaapika kabisaa kabisaa na msahihisha uwa anaonja chakula ili kugawa marks???
 
Tuliza panic jobless mwenzangu, SI Kila lawama ni za PSRS . Lawama peleka kwa tahasis usika kwa kutokua na uharaka kwa watu wao.

Ngojea nikuulize kitu jobless mwenzangu:
1).iv unadhani bila ya PSRS zile post za TCRA tungeweza ata kuziona?
2).iv unadhani bila ya PSRS zile post za BOT ungeweza ziona?

PSRS imejitahid sana kuleta usawa wa ajira hasa kwa sisi ambao hatuna connection uko juu.

Simaanishi PSRS awana mapungufu la hasha, ila namaanisha ni mkombozi sana kwetu tusiokua na connection katika kupata ajira na kuchelewa kuitwa kwenye interview ni tahasis husika na sio PSRS.
Hawa jamaa ukiangalia sanaaa Changamoto kubwa ni ufinyu wa budget katika Taasisi yao katika kuendesha michakato ya ajira....
Cha ajabu sasa Wanalazimisha database iwe ya mwaka 1
 
Back
Top Bottom