Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Kka kyagata umu umetengeza heshima ako na huu uzi ndio mkafanya uende mpaka kufika hapaKwamba wewe tu ndio wa kwanza kupita utumishi mpaka uwe na harakaa?
Interview tu unalia,utumishi wa umma utauweza kweli?
Najua utakuwa umepata na umesahau machungu yote hivyo ukumbuki chochote
Lejea tittle ya huu uzi tumetoka uko saivi sio kusubili tena placements ni kusubili interview ambayo tunaenda miezi 8 mpaka 10 na mwaka unaweza kuisha kwa hali hii unawaza tu interview
Jamaa wajitafakari sana utendeji wao wa kazi