Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwamba wewe tu ndio wa kwanza kupita utumishi mpaka uwe na harakaa?
Interview tu unalia,utumishi wa umma utauweza kweli?
Kka kyagata umu umetengeza heshima ako na huu uzi ndio mkafanya uende mpaka kufika hapa

Najua utakuwa umepata na umesahau machungu yote hivyo ukumbuki chochote

Lejea tittle ya huu uzi tumetoka uko saivi sio kusubili tena placements ni kusubili interview ambayo tunaenda miezi 8 mpaka 10 na mwaka unaweza kuisha kwa hali hii unawaza tu interview

Jamaa wajitafakari sana utendeji wao wa kazi
 
Hawa wanaongeza pdf za waalimu wa biashara pekee wanaacha hata kupiga mixer kidogo na mda & lga iende kiasi
 
Life is not fair apa Kuna mtu anaomba PDF la MDAs and LGAs litoke ata mwezi wa pili mwishoni ili awe amaemaliza vipengele vyake alafu Kuna mtu anataka litoke ata leo 🥺🥺
 
H

Hawatoi hawa umbwa aisee hii inaeza enda mpaka mwezi wa 3
 
Utumishi ishakuwa upuuzi ,ni bora tu Taasisi waanze kuajiri wenyewe moja kwa moja ijulikane moja ,nilikuwa nawatetea sana utumishi humu ,ila kwa huu ujinga hamna namna ,huu ni useng€
Taasisi waajiri wenyewe atakayepata na apate atakaye kosa maisha yaendelee ,
Ni kweli mkuu utumishi ni kume kuwa pagumu sana kwenye michakato yao ya ajira, ingawa taasisi ziki ajiri zenyewe napo undugu una kuwa mwingi kwenye kujuana ila ndio hivyo tena mwenye kupata fungu lake atapata tu.
 
Ngoja tuone Hadithi gani anatoa......
 
Attachments

  • IMG_20250111_112617.jpg
    IMG_20250111_112617.jpg
    372 KB · Views: 6
  • IMG_20250111_112617.jpg
    IMG_20250111_112617.jpg
    372 KB · Views: 5
Sahihi utumishi ina nguvu kazi ndogo ni wakati wao sasa na wao wapate kibali cha kuajiri ili kuongeza nguvu kazi ili kuboresha ufanisi wa kaz ziende kwa haraka
Itakua ni taasisi ya hovyo kama inajua haiwezi kutoa huduma iliyo bora kwa wakati kwa sababu ya idadi ya wafanyakazi walionao na bado hawaongezi /haiboreshi.
 
Napita hapa kutoa shukrani kwa wote wanaoendelea na waliochochea kutupa watu moyo tuendelee kuongeza received humu. Nami Mwenyezi Mungu ameamua wakati wangu umefika. Nashukuru Mungu nimeitwa Dodoma kuchukua barua. Nilianza mchakato wa kupambania ajira tangu mwaka 2021, bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuhudhuria zote nlizoomba. Kuna kipindi nilikata tamaa maana mikando ilikuwa ya kutosha na ndio nikajiunga jf kuangalia wadau wanasemaje kuhusu swala la ajira. Hatimae nikakutana na huu uzi na comment za wadau kuhusu kuendelea kupambana.
Mwaka jana nimefanya interview moja nikafika nayo oral na japokuwa nilikosa post niliyoomba jana mkeka umetoka nikiwa nimepangiwa ofisi nyingine.
Nashukuru sana Mungu na watu wote ambao japo wamepata kazi bado wanarudi humu kuwapa wapambanaji wengine moyo.
ahsanteni
 
Hongera sana mkuu ukawe na utumishi mwema
 
Hongera sana mkuu
 
Mk

Mkuu umesomea kada gani mkuu
 
Hongera sana kaka
 
Hongera sana
 
Hongera sana boss, interview ulifanya mwaka Jana mwez wa ngap!?
 
Back
Top Bottom