Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ndugu waombaji jitahidi kusoma Tangazo vizuri asa kwenye masharti ya jumla zingatieni sana,msikariri utaratibu wa utumishi mkauleta TRA
 
Kuomba hakuna shida, ingawa kwa uzoef, wakiita kwa sahil wa mchujo, husisitiza msailiwa kufanya usail kwa post moja tu.
Asante sna ndugu Mungu anisaidie waniite kwenye usahili walau niwe na kahistoria ka kushiriki usahili wa TRA
 
Back
Top Bottom