Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona ajira za walimu tena zimetanagazwa .. sijui sisi wa MDA & LGA tutapiga kabla au sijui watatupotezea tena dah
 
Daaah safari hii walimu na watu wa afya wasipopata kazi huu mwaka watalaamu balaa

kwenye kila pdf la placement za kazi kwa walimu lazima ukutane na wataalamu wa afya walioitwa kazini.
 
Walimu na afya kweli ni kipaumbele
 
Back
Top Bottom