yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Me naomba kujua hivi na transcript na birth certificate navyo viwe certified?Wale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me naomba kujua hivi na transcript na birth certificate navyo viwe certified?Wale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?
Mimi ninayo moja ya nemc yan nahisi hata washazipotezea maana wana applications nyingi pending mpk zingine wanasahauZile za Environmental officer za Nemc na Afisa mazingira za Halimashauri toka mwaka jana mpaka leo hawajatoa. Mnawakatisha tamaa wasogo zetu huku majumbani mjue.
Ndio Mkuu una attach Transcript tena iwe certified, Hawataki tu Partial Transcript.Kwan transcript nazo pia tunaatach? Kwenye conditions TRA si wamesema transcript hazitakiw au...naomba mnieleweshe hapo wandugu
Kila cheti na transcript yake weka kwenye PDF moja.Wale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?
Ndio Mkuu. Certifie kila kitu.Hivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..Nawakumbusha Tena ndugu zangu
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
View attachment 3234277
TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA
Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...www.jamiiforums.com
Aliekuambia u certify transcript nani? Humu wajuaji wengi utapotezwa na wengine Wana malengo mabaya ya kuchanganya watu wakosee waitwe wao. Soma maelekezo au waulize waliotoa tangazo la kazi Kuna mawasiliano yao pale.Hivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Sina uhakika wa kitachotokea kwenye Interview au kesho yangu, lakini hilo halinizuii mimi kufanya vitu kwa uweledi mkubwa.Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Akiandika address kwa usahihi anajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuitwa kwenye usahili pia kama akipita kwenye usahili anaweza pata kazi ivyo Moja kwa moja akiandika address kwa usahihi anaweza kupata kaziKwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Kisheria copy yoyote lazima iwe certifiedMe naomba kujua hivi na transcript na birth certificate navyo viwe certified?
Kwaiyo hiyo Tanzania Revenue Authority imcost mtu….. wonders shall never endNawakumbusha Tena ndugu zangu
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
View attachment 3234277
TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA
Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...www.jamiiforums.com
Unajuaje kama sio mtego huo?Kwaiyo hiyo Tanzania Revenue Authority imcost mtu….. wonders shall never end
Kwa taarifa yako tangazo hata la 2023 liliandika address namna hiyo na hakuna ambae hakua shortlisted kisa kaweka TRA. Usiwapanikishe watu.Unajuaje kama sio mtego huo?
Kama umepewa maelekezo madogo tu na unashindwa kuyafata utaweza kweli kazi.
Attention to details utaipatia wapi kama hapo tu inakushinda.
Sawa mkuu nimekupataKila cheti na transcript yake weka kwenye PDF moja.
Katika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Mkuu sasa kama jagi la maji tu lilikushinda itakuwaje aptitude za testutumish chukueni hatua za haraka kutunusuru majobless wengine hata kubet hatuko competent kila siku tunaliwa tutakua machiz huku kitaa kubaaabaq... 🤣 🤣