Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Zile za Environmental officer za Nemc na Afisa mazingira za Halimashauri toka mwaka jana mpaka leo hawajatoa. Mnawakatisha tamaa wasogo zetu huku majumbani mjue.
 
Zile za Environmental officer za Nemc na Afisa mazingira za Halimashauri toka mwaka jana mpaka leo hawajatoa. Mnawakatisha tamaa wasogo zetu huku majumbani mjue.
Mimi ninayo moja ya nemc yan nahisi hata washazipotezea maana wana applications nyingi pending mpk zingine wanasahau
 
Kwan transcript nazo pia tunaatach? Kwenye conditions TRA si wamesema transcript hazitakiw au...naomba mnieleweshe hapo wandugu
Ndio Mkuu una attach Transcript tena iwe certified, Hawataki tu Partial Transcript.

Kuna Wengine hawana degree certificate au ndo wamemaliza chuo kwa hiyo wana partial transcript tu.

Soma maelekezo hapa chini 10.(b)
1739351007265.png
 
Hivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Ndio Mkuu. Certifie kila kitu.

Nawakumbusha Tena ndugu zangu

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

1739351554475.png

View attachment 3234277

Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
 
Hivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Aliekuambia u certify transcript nani? Humu wajuaji wengi utapotezwa na wengine Wana malengo mabaya ya kuchanganya watu wakosee waitwe wao. Soma maelekezo au waulize waliotoa tangazo la kazi Kuna mawasiliano yao pale.
 
Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Sina uhakika wa kitachotokea kwenye Interview au kesho yangu, lakini hilo halinizuii mimi kufanya vitu kwa uweledi mkubwa.
Siwezi kufanya makosa kizembe kisa watu wanaoomba ni wengi, lazima nipambanie nafasi yangu katika watu hao 1596.
 
Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Akiandika address kwa usahihi anajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuitwa kwenye usahili pia kama akipita kwenye usahili anaweza pata kazi ivyo Moja kwa moja akiandika address kwa usahihi anaweza kupata kazi
 
Nawakumbusha Tena ndugu zangu

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

View attachment 3234277

Kwaiyo hiyo Tanzania Revenue Authority imcost mtu….. wonders shall never end
 
Kwaiyo hiyo Tanzania Revenue Authority imcost mtu….. wonders shall never end
Unajuaje kama sio mtego huo?

Kama umepewa maelekezo madogo tu na unashindwa kuyafata utaweza kweli kazi.

Attention to details utaipatia wapi kama hapo tu inakushinda.
 
Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Katika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.

Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.

Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.

Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.

Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nyingine
 
utumish chukueni hatua za haraka kutunusuru majobless wengine hata kubet hatuko competent kila siku tunaliwa tutakua machiz huku kitaa kubaaabaq... 🤣 🤣
Mkuu sasa kama jagi la maji tu lilikushinda itakuwaje aptitude za test
 
Back
Top Bottom