Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nina Rafiki zangu kadhaa nao walifanya hizo za watendaji mwaka jana na wengi wao wameitwa kazini kwa kupigiwa simu wakafate barua DOM sidhani kama watendaji Huwa wanawekwa kwenye hii mikeka ya placements
Hapo sawa kada zingine pdf la placement muhimu
 
Back
Top Bottom