Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama!
Tuache double standards.
Screenshot_20241114-134143.jpg
 
Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama!
Tuache double standards.
Mkuu, nawewe Mwanamke kaa kifua wazi endapo utaona inakupendeza. Usisikilize maneno ya watu, Watu ni hawapendi tu upate raha na ujiachie kwa raha zako. Wana chuki binafsi tu.

Anza hapo hapo mtaani kwenu kaa kifua wazi waonyeshe kuwa wewe pia una haki ya kukaa kifua wazi.
Your body your Choice hamna mtu wa kukupangia maisha.

Wanaume tumekuwa tunawapangia sana maisha wanawake wakati haki ni sawa, tembeeni tu vifua wazi bila shida tutawapa support ya kutosha. Kama sisi tunatembea vifua wazi hata nyie mnaweza pia.

Be a Real Woman, Jiachie kadri unavyoweza. Enjoy Life Mama.
 
Kwasababu wanawake miaka yote hawawezi kujiongoza wanahitaji kusimamiwa kwenye kilakitu ikiwemo mavazi, sababu kuu ni kuepusha madhara yabahoweza kuja na uvaaji wao mbaya kutoka kwa wanaume.
 
mwanamke anavaa apendeze upate kumwona
mwanaume anavaa kusitiri mwili
 
Kuna bibi mmoja huwa anatembea kifua wazi kabisa,lakini hatoki maeneo ya nyumbani kwake,nyumba haina fensi wala nini na ukimsalimia anaitikia fresh tu anaendelea na shuguli zake za hapo home,au kuna muda unakuta anapiga stori na mume wake wamekaa chini ya mti kifua wazi.
 
Back
Top Bottom