Kwanini UVCCM hawaonekani siku ya Leo kufanya kongamano la vijana?

Kwanini UVCCM hawaonekani siku ya Leo kufanya kongamano la vijana?

Halafu umenikumbusha jambo mkuu.Hivi,wakati ule ofisi za mawakili/wanasheria zilipolipuliwa kwa bomu kuna shauri lilifunguliwa?Na yule mama/dada Fatma Karume yu wapi siku hizi?
Ile ilikuwa kazi ya wasiojulikana hivyo iliishia kibubu bubu tu, Shangazi Fatma yeye anauweka Uzanzibari mbele zaidi sasa hivi ni chawa mzuri tu wa Mama Abduli, akija mtawala Mtanganyika na akiwa Mgalatia ndiyo utamsikia akikohoa.
 
Ile ilikuwa kazi ya wasifajulikana hivyo iliishia kibubu bubu tu, Shangai Fatna yeye anauweka Uzanzibari mbele zaidi sasa hivi ni chawa mzuri tu wa Mama Abduli, akija mtawala Mtanganyika na akiwa Mgalatia ndiyo utamsikia akikohoa.
Sina swali.
 
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Yaani kuwa kijana harafu ukawa CCM inabidi kwanza ujitoe akili, then uvae uchawa....
Hivi ata wangefanya kongamano sasa wangeongea nini zaidi ya kusema Samia oyee. That is what they know kwenye maisha yao na sio kingine
 
Back
Top Bottom