Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Halafu umenikumbusha jambo mkuu.Hivi,wakati ule ofisi za mawakili/wanasheria zilipolipuliwa kwa bomu kuna shauri lilifunguliwa?Na yule mama/dada Fatma Karume yu wapi siku hizi?Uvccm wao kazi yao ni kuteka wapinzani na kuchoma moto masoko.
😂😂😂😂😂😂mkuu umenichekesha sana kwamba wametawanywa kufanya fujo ili kuimba agenda. Basi Hilo genge limekufa.Wametawanywa wakafanye fujo na kuiba agenda sehemu mbalimbali.
Ukiwaangalia unawaona wana uwezo hata kidogo wa kutoa madini vichwani mwao kweli?😂😂😂😂😂😂mkuu umenichekesha sana kwamba wametawanywa kufanya fujo ili kuimba agenda. Basi Hilo genge limekufa.
Ile ilikuwa kazi ya wasiojulikana hivyo iliishia kibubu bubu tu, Shangazi Fatma yeye anauweka Uzanzibari mbele zaidi sasa hivi ni chawa mzuri tu wa Mama Abduli, akija mtawala Mtanganyika na akiwa Mgalatia ndiyo utamsikia akikohoa.Halafu umenikumbusha jambo mkuu.Hivi,wakati ule ofisi za mawakili/wanasheria zilipolipuliwa kwa bomu kuna shauri lilifunguliwa?Na yule mama/dada Fatma Karume yu wapi siku hizi?
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Sina swali.Ile ilikuwa kazi ya wasifajulikana hivyo iliishia kibubu bubu tu, Shangai Fatna yeye anauweka Uzanzibari mbele zaidi sasa hivi ni chawa mzuri tu wa Mama Abduli, akija mtawala Mtanganyika na akiwa Mgalatia ndiyo utamsikia akikohoa.
Vikao vya wachawi hufanyika gizani.Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Yaani kuwa kijana harafu ukawa CCM inabidi kwanza ujitoe akili, then uvae uchawa....Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Yuko upande wa mshangazi mvaa shanga, Uzanzibari kwanza mengine baadaye.Halafu umenikumbusha jambo mkuu.Hivi,wakati ule ofisi za mawakili/wanasheria zilipolipuliwa kwa bomu kuna shauri lilifunguliwa?Na yule mama/dada Fatma Karume yu wapi siku hizi?
Astaghifilullah! Safari ni ndefu.Yuko upande wa mshangazi mvaa shanga, Uzanzibari kwanza mengine baadaye.
Ni ndefu sana.Astaghifilullah! Safari ni ndefu.
View: https://vm.tiktok.com/ZS4Kkx9J2/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok