GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jibu la Kitoto na Kipuuzi sana hili Mkuu.Mipango sio matumizi
Ili yaweze 'Kuvunjwaring' kiuwepesi na haraka.Kwa nini Dodoma na sii Arusha au Mbeya au Tanga ? why put all eggs in one busket?
Hunipendi na umetoka kuniitia Moderator katika Uzi mmoja ulliojipendekeza Kwangu na nikakupa 'Kavu Takatifu' na sasa umekuja huku katika huu Uzi wangu. Nikueleweje?Umefananisha mipango ya jiwe na asali😀😀
Kama ipohivyo hawatopata muda wa kukijenga hicho kiwanja cha mchongo!!Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.
GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu ( Watazamaji ) Laki Moja ( 100,000 ) na leo Awamu ya Rais Samia ( ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais ) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji ( Watu ) Elfu Thelasini ( 30,000 ) tu?
Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Inawezekana mfadhili mfalme wa Moroco kajitoa,sasa kwa bajeti yetu inabana!Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.
GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu ( Watazamaji ) Laki Moja ( 100,000 ) na leo Awamu ya Rais Samia ( ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais ) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji ( Watu ) Elfu Thelasini ( 30,000 ) tu?
Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Stupid! Vilaza kama nyinyi na bibi yenu hamana akili kabisa!1.They differ into preferences,2,MGL is most needed public attention 3.budget,4.time,
Are you okay Upstairs?uwanja watu laki dodoma? matumizi mabaya ya fedha hakika, ni sawa na chato airport tu.
Muongezee lingine tafadhali Mkuu.Stupid! Vilaza kama nyinyi na bibi yenu hamana akili kabisa!
Ila GENTA unaakili za kimtaani sana au niseme mswahili sana kumchamba mtu mtaani tena barabarani hushindwi kabisaHunipendi na umetoka kuniitia Moderator katika Uzi mmoja ulliojipendekeza Kwangu na nikakupa 'Kavu Takatifu' na sasa umekuja huku katika huu Uzi wangu. Nikueleweje?
Mnafiki mkubwa Wewe. Hamnipendi GENTAMYCINE halafu Kutwa tu ndiyo mnaongoza kusoma Threads zangu hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kudadadeki....!!
Miradi ya kufundisha wananchi katiba, au sio??!!Nadhani ni suala la budget na matumizi. Pesa nyingine imeenda kwenye miradi tofauti tofauti