Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

Hivi gharama ya kujenga uwanja wa kuingia watu 100,000 na gharama ya kuingia watu 30,000 ikoje [emoji1]

Ova
 
Mbona ni Mpira Tu japo kucheza hatujui 😂, hakuna michezo mingine kama tenesi, kuogelea, basketball
 
Kitombile, Beberu, Serikali huwa ina plan za miaka 10,20, au zaidi mbele inapofanya mega projects kama hizi .
Nakupa miaka 25 Dodoma bado hatuwez jaza watu 60 uwanjani,
Wakiweza jua ni match mbili per year, ya simba na ile ya Yanga,

Huoni ni uwezekaji wa kijuha huo
 
Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.

GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu (Watazamaji) Laki Moja (100,000) na leo Awamu ya Rais Samia (ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji (Watu) Elfu Thelasini (30,000) tu?

Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Inasikitisha. Hii ni hali ya kuudhalilisha mji mkuu tu.
Bado wanatamani mambo yote yawe Mzizima hao.
 
Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.

GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu (Watazamaji) Laki Moja (100,000) na leo Awamu ya Rais Samia (ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji (Watu) Elfu Thelasini (30,000) tu?

Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Tunataka tuendelee kuutumia uwanja wa CCM, mtake msitake habari ni hiyo.
 
Navyokumbuka Mimi fedha kwa ajili ya huo uwanja unaosema aliahidi Magufuli ulikuwa unajengwa kwa ahadi ya yule mfalme wa Moroco kama sijakosea. Swali la kujiuliza mfalme alijagoma au zilipokelewa kimyakimya coz hii nchi hakuna linaloshindikana
 
Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha.

GENTAMYCINE naomba kujua ni kwanini Plan ya Awali ya Hayati Magufuli ilikuwa ni Kujenga Uwanja mkubwa wa Michezo wa Kuchukua Watu (Watazamaji) Laki Moja (100,000) na leo Awamu ya Rais Samia (ambaye wakati wa Makubaliano ya awali alikuwepo kama Makamu wa Rais) tunaambiwa kuwa sasa utajengwa wa kubeba / kuchukua Watazamaji (Watu) Elfu Thelasini (30,000) tu?

Nasubiria sasa Majibu yenu hapa JF.
Dodoma hakuna watu Wala mechi ya kujaza uwanja wa wato 100000 Magu alikurupuka
 
Back
Top Bottom