Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

Hivi gharama ya kujenga uwanja wa kuingia watu 100,000 na gharama ya kuingia watu 30,000 ikoje [emoji1]

Ova
 
Mbona ni Mpira Tu japo kucheza hatujui 😂, hakuna michezo mingine kama tenesi, kuogelea, basketball
 
Kitombile, Beberu, Serikali huwa ina plan za miaka 10,20, au zaidi mbele inapofanya mega projects kama hizi .
Nakupa miaka 25 Dodoma bado hatuwez jaza watu 60 uwanjani,
Wakiweza jua ni match mbili per year, ya simba na ile ya Yanga,

Huoni ni uwezekaji wa kijuha huo
 
Inasikitisha. Hii ni hali ya kuudhalilisha mji mkuu tu.
Bado wanatamani mambo yote yawe Mzizima hao.
 
Tunataka tuendelee kuutumia uwanja wa CCM, mtake msitake habari ni hiyo.
 
Navyokumbuka Mimi fedha kwa ajili ya huo uwanja unaosema aliahidi Magufuli ulikuwa unajengwa kwa ahadi ya yule mfalme wa Moroco kama sijakosea. Swali la kujiuliza mfalme alijagoma au zilipokelewa kimyakimya coz hii nchi hakuna linaloshindikana
 
Dodoma hakuna watu Wala mechi ya kujaza uwanja wa wato 100000 Magu alikurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…