Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu.

Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu.

Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi.

Serikali ya mama Samia inabidi iingilie kati suala hili, wazazi pekee hawawezi.
Ujinga tu we wadada wako mtaan wazur unadate na wazee kisa vya bure
 
It's all about survival hujui wanapitia na Wana malengo gani.
Role model wa vijana Rais Macron si unaona katoboa asa we Baki na mtaala wa zamani
 
Hiyo ni prostitution/ ukahaba /uchangudoa kama wa baadhi ya wanawake tu, kwa kuwa jamii sasa imeacha watu wawe huru bila mipaka , ndiyo matokeo yake ukikemea utaambiwa unaingilia maisha ya watu na unakiuka haki za binadamu, zamani kulikuwa na adhabu kali kwa umalaya na uzinzi siku hz hakuna hatua yeyote hata kukemea, ndiyo consequences hizi.
 
Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu.

Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu.

Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi.

Serikali ya mama Samia inabidi iingilie kati suala hili, wazazi pekee hawawezi.
Sasa hivi kuna mabadilko karibia kwenye nyanja zote za maisha ya binadamu.

Anyway, Vijana wengi sana siku hizi wanapenda zaidi Maisha-mteremko, hawataki tabu.
 
Pia sasa jamii inathamini PESA KULIKO UTU, mtu yupo tayari hata kulamba kinyesi cha binadamu mwenzake ili apate pesa hajali kudhalilika, na jamii itamtukuza bila kujali chanzo cha hela zake.
 
Sasa kama huyu unamuachaje aisee
FB_IMG_1712854588074.jpg
 
Back
Top Bottom