Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

Ujinga tu we wadada wako mtaan wazur unadate na wazee kisa vya bure
 
It's all about survival hujui wanapitia na Wana malengo gani.
Role model wa vijana Rais Macron si unaona katoboa asa we Baki na mtaala wa zamani
 
Hiyo ni prostitution/ ukahaba /uchangudoa kama wa baadhi ya wanawake tu, kwa kuwa jamii sasa imeacha watu wawe huru bila mipaka , ndiyo matokeo yake ukikemea utaambiwa unaingilia maisha ya watu na unakiuka haki za binadamu, zamani kulikuwa na adhabu kali kwa umalaya na uzinzi siku hz hakuna hatua yeyote hata kukemea, ndiyo consequences hizi.
 
Sasa hivi kuna mabadilko karibia kwenye nyanja zote za maisha ya binadamu.

Anyway, Vijana wengi sana siku hizi wanapenda zaidi Maisha-mteremko, hawataki tabu.
 
Pia sasa jamii inathamini PESA KULIKO UTU, mtu yupo tayari hata kulamba kinyesi cha binadamu mwenzake ili apate pesa hajali kudhalilika, na jamii itamtukuza bila kujali chanzo cha hela zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…