Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume.

Huko Ugangan ndio usiseme

Sijapita mahospitalini usiseme

NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie

Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw vijana wadogo labisa
Punyeto na bongo fleva na sana sana kufilana wenyewe kwa wenyewe maana vijana wengi hapa mjini (haswa machawa) ni mchicha mwiba (anafilwa na kutomba akipata bahati), we umeona wapi mtu (mwanamme mwenye akili timamu) anaamka asubuhi, kabla hajapiga mswaki eti anaingia Insta ama fesibuku kutafuta umbea ili aende kijiweni kuongelea. Watu kama kina Haji Manara, Mwijaku, Dotto, Baba Levo wanajulikana si kama tunawajuwa ila huko mitaani wanaume wenzetu wasiojitambua akili hawaishi bila kuwaongelea na kufanya sisi wengine tujuwe kumbe kuna watu vichaa hapa mjini.
 
Back
Top Bottom