Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

Punyeto na bongo fleva na sana sana kufilana wenyewe kwa wenyewe maana vijana wengi hapa mjini (haswa machawa) ni mchicha mwiba (anafilwa na kutomba akipata bahati), we umeona wapi mtu (mwanamme mwenye akili timamu) anaamka asubuhi, kabla hajapiga mswaki eti anaingia Insta ama fesibuku kutafuta umbea ili aende kijiweni kuongelea. Watu kama kina Haji Manara, Mwijaku, Dotto, Baba Levo wanajulikana si kama tunawajuwa ila huko mitaani wanaume wenzetu wasiojitambua akili hawaishi bila kuwaongelea na kufanya sisi wengine tujuwe kumbe kuna watu vichaa hapa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…