Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

MEDULA zao zilichukuliwa na mwendazake, mama ana kazi sana
 
Shilling ina pande mbili kumbuka
 

Kutokujitambua tu. Hawajui misingi isiyotakiwa ushabiki. Wao wanadhani kila jambo ni ushabiki ushabiki tu. Hawaangalii wanaloshabikia hata kama laweza kuwa na athari zozote ikiwamo kwao wenyewe.

Tafsiri halisi ya ujinga uliopitiliza!
 
Siku moja napewa story na abiria mmoja wa daladala ,, ananiambia wamechelewa kufika kwasababu daladala limeenda kumkabidhi kituo cha polisi mama aliyekiri kuwa korona ipo Tanzania. Niliuliza kama ni polisi aliyefanya hivyo akasema hapana ila kuna wadau wanaopinga uwepo wa korona ndio wamemshikia bango huyo mama.

Hebu fikiria ,tulifika huko.
 
Mkuu wamekuwa matajiri wakubwa sana kupitia udhalimu na dhuluma wa kuwatishia watu na kuwapora pesa zao chungu nzima huku yule dhalimu mwendazake akitabasamu. Kumbuka yule mpuuzi wa uvccm aliomba samahani kwa Watanzania baada ya dikteta magufuli kufa alipoulizwa samahani ya nini hadi leo hii hajajibu.
 

Hakuna anayeweza kumtetea mtu ambaye yuko kwenye uvhunguzi

Wote watetezi, wanaofurahia na sabaya mwenyewe wasubiri majibu ya uchunguzi tuu na kukubali matokeo
 
Wapo watu walijiona wana Umuhimu zaidi Kulikon wengine
 
Wana hang over ya yule shetani tuliyemzika sasa tumempata mstaarabu mama yetu SSH hawaelewi. Kwa ufahamisho siyo hulka ya wazanzibar kukosa ustaarabu! watasubiri sana
 
Wengi wao ni Wahuni na Wajinga Walipumbazwa na Mwendazake
 
Huu Uzi unapepea lakini kuna watu wanapita pembeni utafikiri hawauoni. Dhambi ni laana na kutetea laana lazima ulaaniwe.
Wameona taa nyekundu mbele,wamegundua kumbe wanazidi kuingia cha kike,yaan wanaupita kama vile hawauoni
 
Hakuna anayeweza kumtetea mtu ambaye yuko kwenye uvhunguzi

Wote watetezi, wanaofurahia na sabaya mwenyewe wasubiri majibu ya uchunguzi tuu na kukubali matokeo
Safari hii Mtanyooka tuu,mmeshaanza kuja na maneno laini laini,"NYIE MMESEMA MAMA AJITAFAKARI"
 
Speaking about Musiba, katulia sana siku hizi... hana habari tena...
 
Wazungu wanasema birds of the same feathers fly together
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…