Ndugu yangu Stuxnet, namshukuru Mungu, bado ni buheri wa afya njema.Mkuu Bams ulipotea sana, tumemiss madini yako. Nimefarijika kusoma post yako leo
Tulikuwa katika laana kuu. Taifa liliumia, na sote tuliumizwa na utawala dhalimu wa awanu ya 5, lakini wapo baadhi waliumizwa kupindukia, na wapo waliopoteza maisha.Siku moja napewa story na abiria mmoja wa daladala ,, ananiambia wamechelewa kufika kwasababu daladala limeenda kumkabidhi kituo cha polisi mama aliyekiri kuwa korona ipo Tanzania. Niliuliza kama ni polisi aliyefanya hivyo akasema hapana ila kuna wadau wanaopinga uwepo wa korona ndio wamemshikia bango huyo mama.
Hebu fikiria ,tulifika huko.
Halafu anatokea mtu anasema hayo ni mapungufu yake (PLO Lumumba - yule mkenya hajaishi haya maisha, namdharau sana kutetea mambo ya hovyo kisa madaraja). Lakini Kiswahili tukitaka kupuuza jambo kwasababu ya mapungufu huwa tunamaanisha vitu vidogo na wala si serious case ya kutweza utu wa mtu.Tulikuwa katika laana kuu. Taifa liliumia, na sote tuliumizwa na utawala dhalimu wa awanu ya 5, lakini wapo baadhi waliumizwa kupindukia, na wapo waliopoteza maisha.
Waliopoteza maisha, tunawaomba Mungu awape pumziko la furaha mbinguni, walioumizwa, tunamwomba Mungu awazidishie mafanikio kama alivyomfanyia mtumishi wake Ayoub, na zaidi wasipungukiwe tumaini mbele za Bwana.
Mimi nilishuhudia kijana anaenda kuswekwa ndani kwa sababu amemwuliza swali mkuu wa Wilaya, tena baada ya yeye mwenyewe DC kutoa nafasi kwa watu waulize maswali!!
Huyu shetani Mwendazake naamini hata Jehanam hawawezi kumvumilia, lazima wamuue nao.Tulikuwa katika laana kuu. Taifa liliumia, na sote tuliumizwa na utawala dhalimu wa awanu ya 5, lakini wapo baadhi waliumizwa kupindukia, na wapo waliopoteza maisha.