sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sauti ya baba ni sauti ya msingi sana, trust me!Mi nina chalii wa miaka miwili.. huwezi amini mama yake licha ya kuongea kwa ukali dogo huwa anakama kumzoea ila kuna muda nasema tu fanya hivi dogo anafanya chapu kitu ambacho kaambiwa dakika 3 zilizopita hakufanya.. bila sauti ya kiume aisee sipati picha mtoto atakuwa vipi na hasa wa kiume.
Wakati mwingine mama anataka kuonekana ni mwema sana kwa mtoto ili baba aliyewacha aonekane hovyo zaidi.So mtoto anakuwa kama yai flan hiv kwa mama.baadaye mtoto anaanza kuwa na sauti kwa mama.Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers ?
Ungeandika single parents, ingependeza zaidi!! Tusiwe gender blind society!!Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers ?
Baba ndiye mlezi, mama ni mzazi tuu.Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers ?
Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers ?
Mtoa hoja sijajua lengo lako kuu hasa ni nini, lakini pasipo shaka umelenga kuwakejeli single mothers. Unachokikusudia na kutaka kuwaaminisha watu sio kitu kizuri na pia yapaswa ujirekebishe.Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers ?
Tatizo hujaelewa swali, wahusika ni wale watoto waliolelewa na mzazi moja na wakaja kuharibikaMtoto anaweza kulelewa na wazazi wote wawili lakini bado wakaharibikiwa kwa maana ya kutokuwa na maadili mema yanayofaa katika jamiii na sio kwa huo mtazamo wako hasi juu ya single mothers.
HILI NALO UNAHITAJI TAKWIMU?Zikowapi takwimu za kuthibitisha hilo?