Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika

Husika na kichwa cha habari,

Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
Mbona Kuna majitu kibao tu yameharibika na yamelele na baba na mama zao?
 
BABA NDIYE MWENYE MISULI YA KUENGA UTU WA NDANI WA MTOTO, KAMA
NIDHAMU, MAADILI, UTII, HESHIMA,
WATOTO WALIO LELEWA NA BABA NI WEPESI KWENYE KUFANYA MAAMUZI NA UPEO WA KUFIRI (DECISION MAKING AND REASONING)
HATA KRISTO ALIZALIWA, NA KUISHI CHINI YA MALEZI YA BABA WA KIMWILI.

MALEZI YA MAMA NI MALEZI LEGEVU, NA HATA WATOTO WANAKUA LEGELEGE.
BABA ANAPIGWA VITA , LAKINI UWEPO WAKE NI MUHIMU KWA WATOTO.
 
Back
Top Bottom