Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu,
Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata hivyo vipesa huridhika Na kusahau kuna kesho....mfano juzi kuna dereva wa haice nilimpa mzigo aufikishe sehemu Na akiishauifikisha kuna kiasi cha pesa ambacho angepewa, nilimpa maelekezo kuwa kiasi kile cha pesa baadhi achukue kama ahsante, Na kingine kitakachobaki uniwekee kwenye namba yangu ya simu, cha ajabu baada ya kupewa kiasi kile cha pesa Na simu yangu akawa hupokei Na mwisho wa siku alinipiga tofari ( block).
Kuna mikasa mingi sana nimekuta nayo kuhusu vijana wa Mwanza Sasa nabaki najiuliza vijana wengi wana matatizo gani je? Ni ushamba, au wengi hawana tamaa ya mafanikio, yaani akiishapata 10000 ya kununua "unga wa ugali Na kipande cha sangara" wanaona wamemaliza Na kusahau kuna kesho