hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Huu ndo ukweli
Mimi mwenyewe mwenyeji wa mwanza ila nimesoma Dar sekondari na dodoma chuo
Lakini nimekaa pia arusha
Mwanza Ina watu washamba sana na hata jiji lenyewe la kishamba very soon halitakua na maana mbele ya dodoma

Wahuni sio watu wazuri kabisa.