hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Wao Kila mtu mwenye mafanikio au anaevaa vizuri au kisasa zaidi humuita taperi , wasukuma watakuita "mwiibii".....ππHuu ndo ukweli
Mimi mwenyewe mwenyeji wa mwanza ila nimesoma Dar sekondari na dodoma chuo
Lakini nimekaa pia arusha
Mwanza Ina watu washamba sana na hata jiji lenyewe la kishamba very soon halitakua na maana mbele ya dodoma
Tatizo jiji hili linapokea watu wanaongia mjini kwa Mara ya kwanzaWao Kila mtu mwenye mafanikio au anaevaa vizuri au kisasa zaidi humuita taperi , wasukuma watakuita "mwiibii".....ππ
Na ndio maana wengi wao wamejazana kwenye gereza la butimba, siku ukipata nafasi nenda katembee jumamosi ujioneeTatizo jiji hili linapokea watu wanaongia mjini kwa Mara ya kwanza
Na ni jiji la Wakulima.wavuvi.watu wa madini
They know nothing kuhusu customer care wala lugha ya biashara.Ni ubabe mwanzo mwisho
Wameona wakutapeli labda kwa kukuona ni mshamba au either wameona hawana hasara watayopata wakikupotezea.Unahisi nikiamua kuwapotezea kwenye deal s zangu Mimi ndie nimepoteza au wao
Wengi ni waaminifu mtu anajua akitengeneza customer base nzurii " wazungu husema A satisfied customer is a free agent"Nimewahi kumtumia mtu laki nne Na nusu kariakoo kwa utambulisho wa codes za duka Na mtaa aliopo, nilihitaji friji ndogo Aina ya boss, kipindi hicho nilikuwa naishi Geita...friji lilifika Na likiwa Na Hali nzuri tu..
Wewe unajua kupika mswaki..Hajui kupika mswaki,
πMleta mada kakutana na wajanja wa Mwanza aliowachukulia poa,wamemuonyosha yupo jf kujifariji.
Swali zuri sanaHivi kati ya mtapeliwa na Tapeli nani anaonekana zaidi ya mshamba? ππ€π½
Ulibahatisha tu kuna jamaa wengi tu wamelizwa na watu wa dar hata mimi piaNimewahi kumtumia mtu laki nne Na nusu kariakoo kwa utambulisho wa codes za duka Na mtaa aliopo, nilihitaji friji ndogo Aina ya boss, kipindi hicho nilikuwa naishi Geita...friji lilifika Na likiwa Na Hali nzuri tu..