Kwanini viongozi wa Afrika hawaoni thamani ya raia wao ?

Mkiambiwa kulipa kodi mnakimbia halafu unakuja hapa kujifananisha na nchi za watu. Kule hakuna bure kila huduma inayotelewa kuna mtu analipia.
Tatizo la Afrika siyo Wananchi kukwepa kulipa Kodi bali tatizo kubwa sana lililopo ni kwamba Watawala wa Afrika hawana kabisa nidhamu katika matumizi bora ya fedha za Kodi za Wananchi.
 
Hawana uzalendo (uwadilifu na uwajibikaji juu ya taifa lao
 
Mkuu wametugawa, ni ngumu sana kuunga ma chawa eti mpiganie haki, kwa jili ya masilai ya taifa, elimu ya uzalendo inahitajika
Ndio hilo ambapo nasema ujinga ni wetu sisi wenyewe. Kwani hao chawa wapo wangapi kama tukiamua kuwamaliza wote kwa nguvu ya umma?

Ni sawa ambavyo mpaka leo tunalamimika kukosa maendeleo eti kwa sababu wazungu wametugawa au walitutawala.
 
Sawa mkuu, unalipa kodi zinaenda mfukoni mwa mtu mmoj au kikundi cha watu! Haoni shida hapo
Hapa naona tutabishana kwa vitu havina msingi kusema unalipa mtu mfukoni au kikundi sijui unaamanisha nini, mimi napata control number nalipa Goverment sijawahi kumlipa John au CCM nalipa serikali. Nchi hii ina watu million 65 walipa kodi Milioni 2 hao waliobaki wanataka huduma kama USA.
 
Ndio hilo ambapo nasema ujinga ni wetu sisi wenyewe. Kwani hao chawa wapo wangapi kama tukiamua kuwamaliza wote kwa nguvu ya umma?

Ni sawa ambavyo mpaka leo tunalamimika kukosa maendeleo eti kwa sababu wazungu wametugawa au walitutawala.
Elimu elimu elimu elimu elimu elimu ni Muhimu mkuu
 
M
Hapa naona tutabishana kwa vitu havina msingi kusema unalipa mtu mfukoni au kikundi sijui unaamanisha nini, mimi napata control number nalipa Goverment sijawahi kumlipa John au CCM nalipa serikali. Nchi hii ina watu million 65 walipa kodi Milioni 2 hao waliobaki wanataka huduma kama USA.
Soluhisho nini basi
 
Kama hawatayachunguza magorofa haya ipo siku mtaa mzima utaanguka
Tatizo la Africa janga likitokea baadae linasahaulika na uchunguzi unafunikwa hapo hapo
Ni kama majanga ya ajali tatizo ambalo ni dogo kulidhibiti ila kila leo watu wanakufa
Kwa sababu viongozi hawajali raia
 
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kwa sababu hao raia ni wapumbavu
 
Kama huwezi kudhibiti usalama wako mwenyewe na usalama wa mitandao tunayoitumia katiba mpya haina maana, vile vile kushindwa kudhibiti wanaoahirisha kufikiri kwa nafsi, a.k.a jizima data, na mafisadi, ambao wakibainika na mkaguzi mkuu wa hesabu za serkali, (CAG), mnaundiwa tume nyuma ya mikamerawa majibu nyuma ya pazia
 
Kama huwezi kudhibiti usalama wako na usalama wa mitandao tunayotumia katiba mpya haina maana, vile vile kushindwa kudhibiti wanaoahirisha kufikiri kwa nafsi, a.k.a jizima data
Shida ni uwadilifu na uwajibikaji
 
Kama hawatayachunguza magorofa haya ipo siku mtaa mzima utaanguka
Tatizo la Africa janga likitokea baadae linasahaulika na uchunguzi unafunikwa hapo hapo
Ni kama majanga ya ajali tatizo ambalo ni dogo kulidhibiti ila kila leo watu wanakufa
Kwa sababu viongozi hawajali raia
Ni shida mkuu, ila ukisikia mtoto wa kiongozi kadhulika ingekuwa chapu chapu
 
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo serious kweli na maisha ya watu,?
Tofauti kabisa na nchi zingine kama israel, marekani raia wao wanathamini sana.
Hili swala inatakiwa liwekwe kwenye katiba, " raia,kwanza nchi kwanza." Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Rais kwanza ,CCM ,viongozi kwanza raia baadae
 
Ni shida mkuu, ila ukisikia mtoto wa kiongozi kadhulika ingekuwa chapu chapu
Imagine ajali zinatokea wala
Na sio kama hawasomi ushauri hapana
Tuna binadamu tuliowapigia kura wakatuwakilishe bungeni kuna wengine hawajawahi kuchangia hoja hata siku moja utadhani jimboni kwake ni peponi
Hatuna wabunge wa kupiga kelele na kusema ukweli bali wote wanasubiri kuchaguliwa tena
 
Kuna shida mahali kichwani mwetu
 
Back
Top Bottom