Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri.
Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda. Huu ni aina mpya ya mbinu za kigaidi zinazopaswa kuchunguzwa na kukemewa.
Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda. Huu ni aina mpya ya mbinu za kigaidi zinazopaswa kuchunguzwa na kukemewa.