Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you.
Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi.
Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike.
Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa familia na jamii nzima kwa uju wake.
Leo watawala wa ulimwengu hawautaki huo mfumo uliowekwa na Mungu mwenyewe.
Wanawake wanapewa mitaji ya kila aina, mitaji ya fedha kisheria, upendeleo wa nafasi na nyadhifa mbalimbali ili tu mwanaume awe chini.
Ukitazama kwa haraka unaweza kusema tunapendelewa na Mungu, lakini ukiliangalia kwa kina kuna siri kubwa sana ya ushetani.
Mwanaume akiwa hana hela, mwanamke hawezi kumtunza kwa miezi miwili kabla hajaanza kumsimanga na kumdharau na kumwita kila jina baya.
Sisi tumekuwa chanzo cha familia nyingi kuoaranganyika na chanzo kikubwa cha vifo vya mapema.
Wazungu pia wanachochea ushoga, wanaume wawe mashoga wapoteze nguvu asilia ya kiutawala, je wanataka nini?
Kuna siri nyuma ya pazia. Wanaume wanaenda kuwa bidhaa adimu kuliko lulu.