Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mumeo kapata mkeNaangalia jinsi mama alivyodanganywa kidogo tu kuwa anaupiga mwingi, leo anaboronga mwanzo mwisho. Mimi hata kuongoza familia yangu sitaki, nataka nitii chini ya uongozi wa mume wangu
Uzi ufungwe [emoji119][emoji847]Hakika utaambiwa hujasoma, huna exposure, umekulia kwenye mfumo dume, umezoea kuwa golikipa n.k
Na sio tu hilo, hata demokrasia pia haijawahi kufanikiwa, tunadanganywa tu!
Mtu anakopa trillion 4 ndani ya wiki 1, na haieleweki huko Zenj zinaenda kufanya nini mikopo yote hii?!!!Naangalia jinsi mama alivyodanganywa kidogo tu kuwa anaupiga mwingi, leo anaboronga mwanzo mwisho. Mimi hata kuongoza familia yangu sitaki, nataka nitii chini ya uongozi wa mume wangu
Kwanza samahani Sana mkuuJameni kwanini uliniwazia mabaya hivyo[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa sasa hakuna kitu cha kuheshimu, kukijenga na kulinda kama nafasi ya mwanaume! Mungu aliumba hivyo na desturi zilikubali hilo, Tukishindwa kutetea hili tumeharibu jamii na dunia
Kongole mkuu ila ukweli ni kwamba Hakuna kiumbe yoyote katika dunia hii ambaye anaweza kuangusha utawala wa Mungu ,kiume huyo haji kutokea kamweSasa hivi ulimwengu upo kwenye mikono ya shetani.......na ajenda na malengo ya shetani ni kuwa kinyume na ajenda za Mungu muimba..........
Sasa hivi wazinzi wanaozaa wanaitana baby mamas na baby daddy............
Sasa hivi mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile mwanaume mwenzake limekuwa haki ya msingi inayopiganiwa..........vivo hivo Kwa wanawake kwa wanawake......
Mungu amempa utawala mwanaume lakini sasa hivi Dunia inalazimisha tuamini kuwa utawala wa mwanaume ni wa hovyo hivyo wanastahili kuwa sawa........
Ubaya mashetani hawa wamekamata vyombo vya habari vyote kuchochea, kushawishi na kupitisha ajenda...........
Sasa hivi vijana wetu wanakuwa wakiamini ni sahihi kwa mwanaume kumfira mwanaume mwenzake.....na mwanamke kumsaga mwanamke mwenzake...........
Watoto wa kike wanakuwa wakiamini kuwa ni sahihi kumtawala mwanaume........
Hawa mashetani Wana ajenda kuu ya miaka zaidi ya hamsini ijayo na target Yao sio sisi wazee bali watoto wachanga wanaonyonya.........
Lakini ajenda Yao kuu ni kudhibiti uzalianaji na kumkabidhi mwanamke madalaka ili Dunia iwe chini ya himaya moja inayopokea amri na kutii kama yalivyo maumbile ya mwanamke..........
Yajayo yanatisha......hizi ndio nyakati za kumshika sana Mungu wako kuliko nyakati zozote zile.......
Unauhakika haziwezi kufanikiwa au unajifariji.Ukisha tambua ukweli uliopo nyuma ya hizo agenda hata siku moja huwezi unga hoja za feminist mbaya zaidi ni kwamba Dada zetu wameona agenda hizo Kama ukombozi kwao kumbe ndo zimewaletea shida kubwa Sana mfano ulio wazi kabisa leo thamani ya mwanamke inaporomoka kila uchwao.
NB: Hata itumike nguvu kiasi gani ku-promote hizo agenda haziwezi fananikiwa hata siku moja.
Natamani hata ungekua mke wangu kwa hii post.Naangalia jinsi mama alivyodanganywa kidogo tu kuwa anaupiga mwingi, leo anaboronga mwanzo mwisho. Mimi hata kuongoza familia yangu sitaki, nataka nitii chini ya uongozi wa mume wangu
Sio wanaume wote wala wanawake wote wanajua wajibu wao, kuna nyumba nyingine Baba anajua kutafuta pesa tu lakini kusimama kama kichwa hawezi kabisa, sasa hapo mwanamke afanye nini atii kitu gani, wewe sema wazazi wawalee watoto wao wakiume kuwa wanaume sio kuwa mtoto kiume, huo utii utafanywa tuu, na wala hauwezi kulazimishwa utatii tu.Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you.
Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi.
Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike.
Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa familia na jamii nzima kwa uju wake.
Leo watawala wa ulimwengu hawautaki huo mfumo uliowekwa na Mungu mwenyewe.
Wanawake wanapewa mitaji ya kila aina, mitaji ya fedha kisheria, upendeleo wa nafasi na nyadhifa mbalimbali ili tu mwanaume awe chini.
Ukitazama kwa haraka unaweza kusema tunapendelewa na Mungu, lakini ukiliangalia kwa kina kuna siri kubwa sana ya ushetani.
Mwanaume akiwa hana hela, mwanamke hawezi kumtunza kwa miezi miwili kabla hajaanza kumsimanga na kumdharau na kumwita kila jina baya.
Sisi tumekuwa chanzo cha familia nyingi kuoaranganyika na chanzo kikubwa cha vifo vya mapema.
Wazungu pia wanachochea ushoga, wanaume wawe mashoga wapoteze nguvu asilia ya kiutawala, je wanataka nini?
Kuna siri nyuma ya pazia. Wanaume wanaenda kuwa bidhaa adimu kuliko lulu.
Job anawatizama tu.Mtu anakopa trillion 4 ndani ya wiki 1, na haieleweki huko Zenj zinaenda kufanya nini mikopo yote hii?!!!
sasa katika wanawake wanaoupiga mwingi ww ni mmoja wapo.Naangalia jinsi mama alivyodanganywa kidogo tu kuwa anaupiga mwingi, leo anaboronga mwanzo mwisho. Mimi hata kuongoza familia yangu sitaki, nataka nitii chini ya uongozi wa mume wangu
Kingine wamasai. wanaume ndio wanafuga na kusuka rasta na wanawake wananyoa kipara.Sasa wamasai wapo mjini wanawasuka nywele kina dada mchana na usiku wanawalinda majumbani mwao, maisha yamebadilika sanaa
Shekhe wa kike anaitwaje?sasa katika wanawake wanaoupiga mwingi ww ni mmoja wapo.
sikatai mwanamke anaweza akawa kiongozi Mzuri ila ni kiumbe dhaifu kuliko mwanaume na kwa misingi hata ya imani na kimila bado mwanamke anasehemu nyingi hawezi kuongoza.
hivi kuna mwanamke anaweza kwenda kwenye mizimu akatambika? basi kama hakuna jua ni tatizo kwakua ukisahau asili sana basi nayo dunia inakusahau
Wanawake wa Kimasai wana heshima sanabkwa waume waoSasa wamasai wapo mjini wanawasuka nywele kina dada mchana na usiku wanawalinda majumbani mwao, maisha yamebadilika sanaa
Be blessed ๐Jameni kwanini uliniwazia mabaya hivyo๐๐๐
Kwa sasa hakuna kitu cha kuheshimu, kukijenga na kulinda kama nafasi ya mwanaume! Mungu aliumba hivyo na desturi zilikubali hilo, Tukishindwa kutetea hili tumeharibu jamii na dunia
TrueKingine wamasai. wanaume ndio wanafuga na kusuka rasta na wanawake wananyoa kipara.
HakikaNatural mwanamke inatakiwa awe msaidizi wa mwanaume, Sasa Naona mama anaupiga mwingi