Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

its devil's work, mwanaume aliumbwa kutawala ndo maana akapewa mental na physical power, sasa shetani anataka mwanamke atawale ili aangushe ufalme wa mwanadamu hapa duniani, tukumbuke tu kuwa shetani ana mmudu mwanamke vizuri sana. pale eden tu alitwist maneno eva akajaa.
mwanamke na mwanaume kila mmoja ana majukumu yake na nafasi yake ya asili ambayo inafanya tuheshimiane na tusiingiliane. Mwanamke ni very powerful pale anapokuwa mwanamke kwelikweli same to mwanaume hence balance of power/nature. ila mwanamke anapotaka kuwa kama dume na mtoto wa kiume anapolainika na kuwa kama jike hapo ndo shetani anafanikiwa.
nasikia sikuhizi kuna madem wana madem zao, huzuni kichizi.
 
Very sad
 

Ufunuo wa yohana ulikwisha kutabiri yale yatakayotokea kabla ya kurudi mara ya pili, kwake mwana wa adam; Hivyo matukio haya yanadhihirisha tupo katika nyakati za mwisho.
SOMA: Ufunuo wa Yohana 17:5-7

But the angel said to me, "Why are you so amazed? I will tell you the mystery of the woman, and of the beast with seven heads and ten horns that carries her.
-- Revelations 17:7
 
Lengo lao ni kuiharibu jamii. Na msingi wa jamii ni familia maana familia zikungana zinaunga mtaa, mtaa unaunga kijiji, kijiji kinaunda mji, mji unaunda nchi.
Sasa familia ukitaka kuiharibu ni kukiharibu kichwa ambacho ni mwanaume.
Unakiharibuje kichwa? Pandisha mabega yakizidi kichwa.
Mpandishe mwanamke
 
  • Uongo na upotoshaji ni jukumu la awali la Shetani.
  • Hawa alidanganywa, wakala tunda wakidhani watakuwa sawa na Mungu, matokeo yake kila mtu anayaona.
 
KWA UFUPI HAKUNA SIRI TENA,
MUNGU ALIVYO UMBA ULIMWENGU ALIWEKA SYSTEM YAKE.(MWANAUME NI MTAWALA)
SHETANI NAYE ALIWEKA SYSTEM YAKE.(MWANAMKE NI MTAWALA).
KUPITIA SYSTEM YA SHETANI NI RAHISI KUPITISHA AGENDA YEYOTE.
MFANO
1.NDOA ZA JINSIA MOJA, MPAKA KUFIKA 2035 TANZANIA ZITAKUA HALALI.(USISAHAU KUNA IDADI KUBWA YA WABUNGE WANAWAKE BUNGENI)
2.MBEGU ZA MAABARA, GMO NAZO ZITAPITA NA KUTUMIKA KIPINDI HICHO (TTAFUTA TAARIFA ZAIDI YA HIZI)

AGENDA NI NYINGI, NA MHANGA MKUU NI MWANAMKE MWENYEWE!
 
Fafanua hiyo aya
 
Moja ya hoja nzuri kuwahi kugokea jf ni hii..

Hakuna nguvu yoyote inayowekwa Duniani kumsimamia mwanaume zaidi wanataka mwanamke ndo awezeshwe zaidi..

Anglia nchi zilizoendelea ambazo zilikuwa maskini kama Zina support hiyo kitu.. Kwa mfano China na Urusi.. Iran pia n.k

Sio kwamba mwanamke hatu simuheshimu.. Lahasha lakini na mapungufu yake yaheshimiwe pia

Kunamaamuzi huwa yanahitaji mtu asid na huruma na uoga pia..
 
Kingine wamasai. wanaume ndio wanafuga na kusuka rasta na wanawake wananyoa kipara.
Hakuna jamii wanaume wanaheahimika kama wamasai na wanawake pia waheshimika mno na jamii ya kimasii kulingana na nafasi yake
 
You nailed it
Japo wanawake wa kizazi hiki hawaelewi
Na ukijaribu kuwauliza wanalipuka kama wamemwagiwa Petrol
Ila Sisi wanaume tuna maswali magumu ya kujibu kwa Muumba wetu; ya kwa nini tuliruhusu hiyo hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…