Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

You nailed it
Japo wanawake wa kizazi hiki hawaelewi
Na ukijaribu kuwauliza wanalipuka kama wamemwagiwa Petrol
Ila Sisi wanaume tuna maswali magumu ya kujibu kwa Muumba wetu; ya kwa nini tuliruhusu hiyo hali
Most of us are lacking love, and we are craving for money
 
Kuna siri nyuma ya pazia. Wanaume wanaenda kuwa bidhaa adimu kuliko lulu.
Nakazia

Kuna siri nyuma ya pazia.
Wanaume wanaenda kuwa bidhaa adimu kuliko lulu.

Ikumbukwe walio mstari wa mbele kuwaangamiza wanaume sio wanawake... ni wanaume wenyewe wanaangamizana wao kwa wao sababu ya wanawake.

Kuna ofisi moja nilikua nafanya kazi sasa kuna kabinti kalijenga mazoea na mimi nisijue kua HR (mwanaume) ana mahusiano nae huyo binti, zilipigwa figisu figisu nilifukuzwa kazi kisa mazoea na mwanamke kazini, wengine (wanaume) wakawa wanasema naleta mapenzi na yule binti yaan nataka kulala nawe wakati mimi sikua hata na hayo mawazo, yaan mtu mpo nae kazini anakufurahia mpo peace mnafurahi umletee ukauzu seriously?
 
We acha tu
 
True
 
Wewe sio gentleman. Gentleman popote alipo ana mind his own business. Jifunze kutokana na makosa yako mwenyewe
 
Umenifurahisha sana ulipoandika..."mwanaume alifanya kazi ya kufukuzana na wanyama huko porini.Kisha akatuletea kupika"...!Ulivyojijumuisha na hao akina mama wa zamani,utadhani ulikuwepo!Hata hivyo umeandika ukweli.Haki ya asili haipokwi wala kuharibiwa kirahisi.Kwa kikinga wanasema..."You can neither create nor destroy nature"...!Itabaki kuwa hivyo tu.
 
Huu uzi kuna somebody anaitwa blessed nani sijui hajauona,anapenda ligi uzuri humu dada zangu umefunguka vizuri.
 
Naangalia jinsi mama alivyodanganywa kidogo tu kuwa anaupiga mwingi, leo anaboronga mwanzo mwisho. Mimi hata kuongoza familia yangu sitaki, nataka nitii chini ya uongozi wa mume wangu
Mungu akubariki ili mmeo akuthamini sana. Unaonekana unauwezo mkubwa wa kufikiri.
 
Wewe sio gentleman. Gentleman popote alipo ana mind his own business. Jifunze kutokana na makosa yako mwenyewe
Mzee we was a team tunafanya kazi km team na huyo manzi nilipangwa nae team moja before aliwahi kua team leader kabla sijajiunga na KAMPUNI na kuna baadhi ya mambo ambayo mimi km new in job alikua akinielekeza ili nisiharibu kazi za watu, sasa unataka tusiongee wakati tupo team moja ili mimi niziharibu kazi za watu?

Na team leader alimpa maelekezo awe ananielekeza baadhi ya mambo mimi ni mgeni kazini maana kwenye table moja tunakua wengi haweze kumwelekeza kila mmoja wetu atakuelekeza wa karibu yako km ukikwama Ila kitendo cha mimi kua close na yeye HR kilimchukiza

Km hujawahi kufanya kazi ambazo mnafanya as a team pita hivi maana haujui unachokiongea, na kwenye team akiharibu mmoja means team nzima imeharibu kwa hio ulitaka nisiongee nae ili niiharibie team mkiharibu lawama toka kwa supervisor zinaenda kwa team leader na team nzima kwamba tunafanya kazi bila ushirikiano n we was on the same table, so what was I suppose to do, if it was you as a gentleman ungefanyaje ungempuuza n mind your own business? Gentleman?

You're so stupid I ever seen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…