Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke JPM wamejikita kutuma picha za JPM na siyo hotuba zake.
Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi? Marafiki zake walikuwa marafiki kweli au walitaka kuishi?