Kuwa mstaarabu kidogo tu. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kila mtu ana utashi wake na kamwe hautafanana na mtu mwingine kwa 100% ni sawa na fingerprints ndiyo maana tunatofautiana kwa mengi.
Kinachotakiwa ni kuvumiliana, kuepuka kuvunja thamani ya utu wa wengine wanaotofautiana nawe mawazo na misimano.
Kwa mfano mdogo tu, chukulia mzazi wako ni CHADEMA, je naye ni mgonjwa wa akili?
Mashabiki wa Ccm tuna high IQ hatari.View attachment 1583754
Hakika mkuu.hizi siasa mkuu,hata wewe ukiahidiwa mabomba ya maziwa yafaa ujiulize ng'ombe wa kutosha kupatikana maziwa wanatokea wapi????
kama kuna mwana ccm alishangilia hili namrundika kwenye kundi la wafuasi wa chadema wale wanaoamini,raisi wao mtarajiwa anaweza kutoa elimu bure iliyo bora,kisha atoe ajira kwa kila mhitimu wa chuo kikuu,wakati huo akipunguza kabisa au kuondoa kodi kabisa katika malipo mbali mbali[emoji23][emoji23][emoji16]
Hata wanaoishabikia ccm wana mtindio wa ubongo
Ni sawa. Kila jambo lenye kuchangia mihemko ya watu, km mtu asipotuliza akili akatafakari kidogo kabla ya kujibu au kuchangia mada, ndo hapo atakapojichanganya na kuonekana kichwani zimepelea kidogo kumbe kiuhalisia mtu yupo normal kabisa. Ni mtazamo na fikra tofauti katika jambo husika.kama ungenisoma kwa utulivu ungeelewa nilimaanisha kwamba kuna wakati nawachukulia hivyo.si wakati wote.
kama kuna wakati watu wanaamua kutua akili chini ili watumie eggo zao ndio wakati huo wanakuwa vichaa ama wendawazimu.
Ukata. Subiri, watakosa hadi mawakalaUchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Kwani ,hujasikia wenye haki ni mbogamboga pekee.wanayo uwezo kutoka Kodi na vyanzo vingine.wengine hats wakiweka baadhi ya maeneo yanaondolewa .Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
KIBAYA CHAJIUZA KIZURI CHAJITEMBEZAUchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Kodi ikiwa ndogo inalipikahizi siasa mkuu,hata wewe ukiahidiwa mabomba ya maziwa yafaa ujiulize ng'ombe wa kutosha kupatikana maziwa wanatokea wapi????
kama kuna mwana ccm alishangilia hili namrundika kwenye kundi la wafuasi wa chadema wale wanaoamini,raisi wao mtarajiwa anaweza kutoa elimu bure iliyo bora,kisha atoe ajira kwa kila mhitimu wa chuo kikuu,wakati huo akipunguza kabisa au kuondoa kodi kabisa katika malipo mbali mbali[emoji23][emoji23][emoji16]
Tutawajibu Nini watakaosema uwanja uliinama?Monopoly! Yani mambo mengine ni primitivity ndio maana wazungu wanatubeza sana...niliuliza hilo jambo nikasikia kuwa “chama fulani kimefanya booking ya mabango yote na street ads! Na kujitangaza koote bado tu watu hawalali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawana pesa Chadema wamekula ruzuku zote wakina Faru John na Genge lake la ufisadi. Pia wanajua watashindwa tu hivyo wanatunza pesa ili wapate za kutumia baada ya uchaguzi.Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.
Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?
Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?