Uchaguzi 2020 Kwanini vyama vya siasa havina mabango ya kampeni mitaani ila CCM tu?

Kuwa mstaarabu kidogo tu. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kila mtu ana utashi wake na kamwe hautafanana na mtu mwingine kwa 100% ni sawa na fingerprints ndiyo maana tunatofautiana kwa mengi.

Kinachotakiwa ni kuvumiliana, kuepuka kuvunja thamani ya utu wa wengine wanaotofautiana nawe mawazo na misimano.

Kwa mfano mdogo tu, chukulia mzazi wako ni CHADEMA, je naye ni mgonjwa wa akili?

kama ungenisoma kwa utulivu ungeelewa nilimaanisha kwamba kuna wakati nawachukulia hivyo.si wakati wote.

kama kuna wakati watu wanaamua kutua akili chini ili watumie eggo zao ndio wakati huo wanakuwa vichaa ama wendawazimu.
 
Mashabiki wa Ccm tuna high IQ hatari.View attachment 1583754

hizi siasa mkuu,hata wewe ukiahidiwa mabomba ya maziwa yafaa ujiulize ng'ombe wa kutosha kupatikana maziwa wanatokea wapi????

kama kuna mwana ccm alishangilia hili namrundika kwenye kundi la wafuasi wa chadema wale wanaoamini,raisi wao mtarajiwa anaweza kutoa elimu bure iliyo bora,kisha atoe ajira kwa kila mhitimu wa chuo kikuu,wakati huo akipunguza kabisa au kuondoa kodi kabisa katika malipo mbali mbali[emoji23][emoji23][emoji16]
 
Hakika mkuu.
Screenshot_2020-09-28-19-00-29-1.jpg
 
Hata wanaoishabikia ccm wana mtindio wa ubongo

ni kila mtu anaona akiwa kakaa upande wake.

ila kituko huja pale kila mtu anatakiwa awasilishe yake yaliyo sahihi,ndio unagundua kwamba cadema ni zaidi ya misukule.
 
kama ungenisoma kwa utulivu ungeelewa nilimaanisha kwamba kuna wakati nawachukulia hivyo.si wakati wote.

kama kuna wakati watu wanaamua kutua akili chini ili watumie eggo zao ndio wakati huo wanakuwa vichaa ama wendawazimu.
Ni sawa. Kila jambo lenye kuchangia mihemko ya watu, km mtu asipotuliza akili akatafakari kidogo kabla ya kujibu au kuchangia mada, ndo hapo atakapojichanganya na kuonekana kichwani zimepelea kidogo kumbe kiuhalisia mtu yupo normal kabisa. Ni mtazamo na fikra tofauti katika jambo husika.
 
Hali ya kipesa kwa vyama karibu vyote vya upinzani ni mbaya, pamoja na hayo ushawishi wa kuchangia vyama ama umepotea au wanachama hawataki kuchangia vyama wanavyodai wanavipenda.
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Ukata. Subiri, watakosa hadi mawakala
 
Monopoly! Yani mambo mengine ni primitivity ndio maana wazungu wanatubeza sana...niliuliza hilo jambo nikasikia kuwa “chama fulani kimefanya booking ya mabango yote na street ads! Na kujitangaza koote bado tu watu hawalali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
Kwani ,hujasikia wenye haki ni mbogamboga pekee.wanayo uwezo kutoka Kodi na vyanzo vingine.wengine hats wakiweka baadhi ya maeneo yanaondolewa .
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Time, Msajili au Serikali?
KIBAYA CHAJIUZA KIZURI CHAJITEMBEZA
 
hizi siasa mkuu,hata wewe ukiahidiwa mabomba ya maziwa yafaa ujiulize ng'ombe wa kutosha kupatikana maziwa wanatokea wapi????

kama kuna mwana ccm alishangilia hili namrundika kwenye kundi la wafuasi wa chadema wale wanaoamini,raisi wao mtarajiwa anaweza kutoa elimu bure iliyo bora,kisha atoe ajira kwa kila mhitimu wa chuo kikuu,wakati huo akipunguza kabisa au kuondoa kodi kabisa katika malipo mbali mbali[emoji23][emoji23][emoji16]
Kodi ikiwa ndogo inalipika
 
Monopoly! Yani mambo mengine ni primitivity ndio maana wazungu wanatubeza sana...niliuliza hilo jambo nikasikia kuwa “chama fulani kimefanya booking ya mabango yote na street ads! Na kujitangaza koote bado tu watu hawalali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutawajibu Nini watakaosema uwanja uliinama?
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?
Hawana pesa Chadema wamekula ruzuku zote wakina Faru John na Genge lake la ufisadi. Pia wanajua watashindwa tu hivyo wanatunza pesa ili wapate za kutumia baada ya uchaguzi.
 
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani.

Hii Ina maana gani kwa uchaguzi?

Tatizo Ni vyama vyenyewe vya upinzani, CCM, Tume, Msajili au Serikali?

Ni kweli, lakini lisikupe shida. Mabango yako mioyoni mwa watu, utaona matokeo yake 28/10/2020
 
Back
Top Bottom