mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kuwa mstaarabu kidogo tu. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kila mtu ana utashi wake na kamwe hautafanana na mtu mwingine kwa 100% ni sawa na fingerprints ndiyo maana tunatofautiana kwa mengi.
Kinachotakiwa ni kuvumiliana, kuepuka kuvunja thamani ya utu wa wengine wanaotofautiana nawe mawazo na misimano.
Kwa mfano mdogo tu, chukulia mzazi wako ni CHADEMA, je naye ni mgonjwa wa akili?
kama ungenisoma kwa utulivu ungeelewa nilimaanisha kwamba kuna wakati nawachukulia hivyo.si wakati wote.
kama kuna wakati watu wanaamua kutua akili chini ili watumie eggo zao ndio wakati huo wanakuwa vichaa ama wendawazimu.