Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

Ni vitega uchumi vya watu kwa ajili ya kuwapatia pesa kuendeshea maisha yao.
unakuta kijana mdogo tu upinzani, eti kastaafu siasa, kumbe maskini ya Mungu hakuna matumaini ya fursa wala nafasi anaweza kupata nafasi ya uongozi kwenye chama chake kwasabb viongozi wao ni wa maisha πŸ’
 
We unaongeza ushabiki bila tafiti za kutosha! Ubunge sio muhimu? Angalia vijana walivyokuwa Bungeni mwaka 2005-2020,Wazee wabungecwengi walikuwa SM mpaka wanasinzia!Anaambiwa atoe kero za Jimbo lake,anaishia kucopy na kupaste eti kama alivyosema kimwakaleli!
 
Muerevu mbona umekurupuka na mihemko tu? Relax na ujieleze taratibu tu wadau watakuelewa vizuri zaidi...

sasa hiyo succession plans ya huyo uliemtaja ni kinyume na utaratibu wa nani?

kama wewe ni mkulima na unataka kumuandaa mwanao awe mkulima, mvuvi, mfugaji, mfanyabiashara au msaanii kuna ubaya gani gentleman?

Yaani unapata mihemko juu ya namna familia ingine inavyofanya succession plans kwa watoto wa rika zao mbalimbali? alaa?

si na wewe uandae wanao? sijui watakua watu wa mihemko au kulalamika tu?πŸ’
 
nazungumzia succession plans gentleman ndani ya vyama vya siasa..

vipi kuhusu vyama visivyokua na wabunge wanayo?πŸ’
 
Kitu gani kimekukwaza hapo ndugu?
nimeona tu ukomo wa mawazo mapya na fikra mbdala, mwanzo sana wa hoja hii muhimu mno ya succession plans ndani ya vyama vya siasa πŸ’
 
Kwa hiyo wewe na Mwashambwa ndio planners wa SM!
hii issue inahusu succession plans ndani ya taasisi za siasa, sio kwa ajili sijui ya fulani na fulani kwa majina..


huu ni mpango muhimu sana na wa maana mno kwa mustakabali mwema wa usitawi wa Demokrasia na uongozi ndani ya vyama vya siasa na baadae uongozi wa nchi πŸ’
 
Wazo zuri Anza kwanzo huko kwenu SM,tutawaiga, maana nyie ndio mlioshika Dola hata mkiandamana!
 
Huko Vyuoni kila Mwanafunzi anaamini kuwa CCM ndio tiketi yakuajiriwa/kuteuliwa baada ya kumaliza masomo
na ndio matumaini na ndoto ya waTanzania wote zilivyo, hasa chini ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi madhubuti na makini sana, Dr.Samia Suluhu Hassan, na wengi sana wamefanikiwa na mamilioni bado wanaendelea kufanikiwa πŸ’
 
Wazee wa weka ndani bila sababu,huku kila uchwao ,madudu ya upigaji yanatolewa,wote hao ni SM kwa SM!
Succession plan ipo. Nenda Singida, nenda Tanga, Nenda Arusha , Pwani na kwingineko...vyama vimefanya hivyo. Ingawa Kuna baadhi ya vyama baadhi ya nafasi muhimu havitaki hiyo kitu ya succession plan!!
Hata Mbeya Mara nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…