Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

chama cha upinzani EFF Africa kusini, Zimbabwe na hata Senegal, viongozi wake ni vijana mno na wanaongoza vizuri sana πŸ’
Unapenda sana kupindisha maneno ukiishiwa hoja.
Ebu angaza vyama vya CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO, CUF, NCCR MAGEUZI, TADEA, CHAUMA, TLP, MAKINI, CCK, N.K

Angalia viongozi wao kwenye nafasi zifuatazo.
1. M/kiti Taifa.
2. Katibu Mkuu
3. Naibu katibu mkuu bara na visiwani.
4. Uenezi na mawasiliano
5. Jumuiya ya Wazazi.
6. Vijana.
7. Mambo ya nje sera na uratibu.
Kwasababu unaleta hoja bila kuleta ushahidi unakuwa msema uongo na mpotoshaji.
 
Watafanya succession vipi wakati vijana wa upinzani mnawauwa na kuwateka na kuwakosesha fursa kwa kila naman. Kmmaaammmaako mmmmssseenngeee mmkumbwaaa weeewee
 
Je,
ukitazama kuna succession plans kweli ndani yake, au inaonekana dhahiri ni kwenye chama kimoja tu gentleman?
 
Succession CCM ni koi zilezile ni kama chama Cha machifu
 
Hawaaminiani. Fitna, chuki na majungu. Mwisho ni vyama havina itikadi so huwezi tabiri stability ya mwanachama kesho atakuwaje.
 
Succession CCM ni koi zilezile ni kama chama Cha machifu
Je, vyama vya siasa vingine kwanini hawafanyi basi hata kama ni tofauti na wanavyofanya CCM?πŸ’
 
unakuta kijana mdogo tu upinzani, eti kastaafu siasa, kumbe maskini ya Mungu hakuna matumaini ya fursa wala nafasi anaweza kupata nafasi ya uongozi kwenye chama chake kwasabb viongozi wao ni wa maisha πŸ’
Usinichekeshe ndugu. Vyama vyote, havina succession plan. Mfano CCM tunaona watu ambao ni watoto wa viongoz waliopita na wengi hawana uwezo,Kikwete Junior, Nnauye Junior, Makamba Junior.

CDM pia hawana succession plan, maana tunaona Mbowe yupo miaka na miaka yupo. ACT tunaona Zitto anajifanya ameretire lakin yupo tu.

Siasa za Tanzania bado ni za maslahi ya watu wachache na bado hazijasaidia watu wengi kutoka sehemu moja.
 
kwahvyo gentleman,
ulitaka viongozi wa CCM wawafundishe na kuwarithisha watoto wao ukulima au ufugaji kitu ambacho wazazi wao wanafanya kama kazi ya ziada?

kwani akina nchimbi, Aly happy, akina jocket, akina CPA makala, akina mongela, akina makonda, akina masauni, akina jery sila, akina shigella, heri jemsi, shaka hamdu, akina kawaida n.k ni watoto wa akina nani?au ni mazingaumbwe tu hayo πŸ’
 
Na huyo ndiyo introduction, main body na conclusions kabisa ndani ya chama hicho, right?πŸ’
Nimetoa mfano tu mmoja, wapo wengi sana hata Mbowe miaka ya '90 alikuwa ni kiongozi wa vijana, Leo ndio Mwenyekiti.
 
Mimi sio mwanasiasa wala mwanachama wa chama chochote cha kisiasa, na wala sio social scientist bali nipo kwenye natural sciences. Kwa mujibu wa research nazofanya mojawapo ni qualitative ambayo haihitaji empirical data, tunapata conclusions kwa human perceptions, feelings, thoughts, says, mitazamo, mazungumzo, reactions, nk nk.

Kwa ujumla utafiti wangu usio rasmi qualitatively, naona Chadema ni lidude moja kubwa mno na linalotisha sana kwa kutazama namna reactions, na qualitative data zilizopo humu JF, radioni, social media zingine, TV, blogs, Polisi, jeshini, mitaani, magengeni, chats, groups za chawas etc. hamna siku chadema haijatajwa mara 10 hadi 20! Kuanzia mama yao/yetu akilala, akiamka, akiongea, akiwaza, chadema inazunguka kichwani kwake, makondeko kule kwa landrover kila akiamka, makalai kwenye mizunguko yake ya perdiem, joni nchambi, mcheza kiduku wa daslam, hapi, mkumbwa, cc yote ya ccm, machawa wazoefu na wapya kote mitandaoni, mwashamba, talalalah, choicevariable, yohana mbatizaji, na wengine lukuki. Polisi ndio wakisikia kuanzia kaka yao mkubwa anayevaa official dress na buti hata kwenye sherehe ikulu kama yupo vitani ndio wanapagawa kabisa na kuitana nchi nzima, na kuwasha mazimamoto yao ya kipigaji. Hili dude linawatisha sana kisaikolijia.

My conclusion kwa haya naona chadema sasa niifananishe na maji kwa kweli, yani ni lazima uyatumie tu ili uishi, kuna watu kwa kuitajataja tu wamepata uwaziri, ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa, ubunge, uchawa rasmi, ukatibu-kata na uenezi wa ccm, wengine wakapigwa na pesa, wengine ubalozi, wengine ucovid-19 sasa hii si sawa na maji tu wandugu??

Yani utake usitake utayanywa, usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utafulia, usipoyafulia utapikia, usipopikia utaoshea hata tongotongo. Ili tumbo lako lisitirike kwa sasa we andika, taja, waza, ongea kuhusu chadema, ukiongelea mwengine unafutika tu kama upepo. Relavance yako itakuja kwa kusema chademaaaaa, chademaaaa hata kama huna logic km mwashamba.

Yani kuna watu wasipotaja chadema wanapotea so ili wawe relevant lazima kila siku waje na uzi kuhusu chadema tu, gosh!! Wengine hata spelling hawajui lkn chadema ipo midomoni mwao kutwa kucha.

No offence hii ni perception ya jamii ya watanzania kuanzia mama yetu shuka chini hadi kwa machawa wa level za chini kbs kama hapa nilipo cholesamvula. πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜•
 
Je, vyama vya siasa vingine kwanini hawafanyi basi hata kama ni tofauti na wanavyofanya CCM?πŸ’
Mbona vinafanya tofauti na CCM Koo ni zilezile nyie machawa na wapiga jalamba mtaendelea kupiga jalamba na mtaurithisha uchawa watoto wenu Kwa wajukuu wa Ridhiwan na Nape
 
Mbona vinafanya tofauti na CCM Koo ni zilezile nyie machawa na wapiga jalamba mtaendelea kupiga jalamba na mtaurithisha uchawa watoto wenu Kwa wajukuu wa Ridhiwan na Nape
Maskini dah,
kukurupuka bana,

kweli hii ni nyumbu 🀣
 
Nimetoa mfano tu mmoja, wapo wengi sana hata Mbowe miaka ya '90 alikuwa ni kiongozi wa vijana, Leo ndio Mwenyekiti.
kwanini usitiririke tu kama wengine akina nchimbi, makala, mongela, jocket, ally happy, magoti, makonda, shigela, heri jemsi, shaka hamdu, mtaka, mavunde, masauni, kawaida n.k?

kwahivyo tangu miaka ya 1990 mpka wa leo succession plans chadema ni ni Mbowe and full stop?🀣
 
Sina muda Niko bize
Kuna Mtu anaitwa John Heche yeye alikuwa Mwenyekiti Wa Vijana (bavicha) kwa sasa ni Mwenyekiti Wa Kanda na Mjumbe Wa Kamati kuu, na pia aliwahi kuwa Diwani na Mbunge Wa Tarime Vijijini.
 
Sina muda Niko bize
Kuna Mtu anaitwa John Heche yeye alikuwa Mwenyekiti Wa Vijana (bavicha) kwa sasa ni Mwenyekiti Wa Kanda na Mjumbe Wa Kamati kuu, na pia aliwahi kuwa Diwani na Mbunge Wa Tarime Vijijini.
ni miongoni mwa viongozi wanaozira na kususa kimyakimya dhidi ya mambo yanayofanyika na uongozi wa hapo juu,

Je, ni kwamba hajaridhika na nafasi aliyoko, na anadhani alistahili kua nafasi ya juu zaidi ili walau kumreplace kamanda hayati ChachaWangwe na kuwafuta machozi wana Tarime?πŸ’
 
Wewe ndo nyumbu endelea kuwa chawa unamrithisha uchawa mjukuu wako
ni kujipanga tu gentleman bila muhemko wala makasiriko na unatoboa maisha yako na watoto wako vizuri tu huku Neema na Baraka za Mungu zikiambatana na kuandamana pamoja nawe daima na milele Aimen. πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…