Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

Umesahau Vijana waliondaliwa na CHADEMA walinunuliwa na Magufuri kwa gharama kubwa?
 
Labda vijana waliopo hawana uwezo wa kuongoza🀣🀣🀣 kikubwa waweze kuandamana tu bhaasi! (utani)
Sio rahisi sana kugawa ruzuku kwa vijana, viongozi wenyewe wanadhulumiana muda mwingine.
 
Watoto wa marais si unawaona wanaandaliwa na wanajiandaa, succession ipi unataka?

Kama ilivyo kwamba CCM ina wenyewe na nchi ina wenyewe.
Masikini ni washerekeaji tu, kwa kupiga vigelegele.

Ukitaka bahati afe mtawala, kama hivyo tunapata sura mpya kwa bahati mbaya.
 
- hoja ni kwamba Heche alikuwa bavicha taifa na sasa ni Mjumbe Wa Kamati kuu.
-
 
- hoja ni kwamba Heche alikuwa bavicha taifa na sasa ni Mjumbe Wa Kamati kuu.
-
kwanini analeta kiburi sasa kususia maamuzi yanayotoka juu πŸ’

ndivyo alivyofundishwa ukaidi uongozi ni?
 
(1) Ubinafsi
(2) Kuchukia haki
(3) Kupenda uwongo wa maneno na vitendo.
(4) Kupenda rushwa.
(5) Kupenda Dhulma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…