Sijui kuhusu kupinduliwa....lakini binafsi naona toka mwanzo ingetakiwa kufanya kama wanavyofanya sasa.Ukiona hivyo yanapinduliwa hayo.
Toka juzi.
Ila ntashangaa sana Raila akishinda.
Huyo mzee kachoka wamwonee huruma tu wasimpe apumzike.
Hakuna tena matokeo ya kutoa!! Wameshayatoa karibuni yote. Nimekuwa nafuatilia kwenye gazeti la NATION (online). Angalia post #10 hapo juu.Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi.
Sasa, Shida ni nini?
Ni kweli mtandao umekatika?
Wamegundua kuna tatizo litajitokeza?
Wamenyimwa access ya 34A au?
au mimi ndiye mwenye haraka labda wataendelea baadae?
Wewe usitudanganye,Tume imepiga stop TV stations zote kutoa matokeoHakuna tena matokeo ya kutoa!! Wameshayatoa karibuni yote. Nimekuwa nafuatilia kwenye gazeti la NATION (online).
Vyombo vya habari vilikuwa vinatoa just "Preliminary Results". Na kwa sasa vimeshahesabu kura zote ambapo siyo Ruto wala Odinga aliyeibuka kidedea.
Hizo Preliminary Results ndiyo kama hizi hapa👇
View attachment 2321777
Kinachofanyika sasa ni tume kuu yaani IEBC ndiyo wanafanya majumuisho ya forms zote original kutoka vituoni kisha ndiyo wanatoa "Verified/Final Results", baada ya hapo ndipo watafanya maamuzi ya kama kuna mshindi ama ngoma droo.
Hizo Verified Results ndiyo kama hivi sasa👇
View attachment 2321778
Hakuna TV iliyokuwaq inatoa matokeo, walichokuwa wanafanya ni kuoneshwa kura zilizojumlishwa! Nationa online inaonesha jumla ya kura halali zilizoenda kwa wagombea ni 13,427,287. Bila kujumlisha kura zilizoharibika ambazo pia ni maelfu kadhaa. Jumla ya waliopiga kura ni 14,164,561. Ukitoa kura halali unabaki na 737,274. Hii idadi inawakilisha kwa kiasi kikubwa kura ZILIZOHARIBIKA na kura chache zilitokana na manual registration of few voters. Kwa hiyo kura za kujumlisha ni kama zimekwisha! (almost over ).Wewe usitudanganye,Tume imepiga stop TV stations zote kutoa matokeo
Chanzo cha hiki ulichoandika ni kipi? kiweke hapaHakuna TV iliyokuwaq inatoa matokeo, walichokuwa wanafanya ni kuoneshwa kura zilizojumlishwa! Nationa online inaonesha jumla ya kura halali zilizoenda kwa wagombea ni 13,427,287. Bila kujumlisha kura zilizoharibika ambazo pia ni maelfu kadhaa. Jumla ya waliopiga kura ni 14,164,561. Ukitoa kura halali unabaki na 737,274. Hii idadi inawakilisha kura ZILIZOHARIBIKA. Kwa hiyo kura za kujumlisha zimekwisha!
Angalia post # 10 hapo juu au ingia kwenye website ya gazeti la NATION online utayakuta matokeo hayo yote!Chanzo cha hiki ulichoandika ni kipi? kiweke hapa