Kenya 2022 Kwanini vyombo vya habari nchini Kenya vimeacha kuonesha matokeo ya urais?

Kenya 2022 Kwanini vyombo vya habari nchini Kenya vimeacha kuonesha matokeo ya urais?

Kenya 2022 General Election
Kupitia ivyo vyombo vya habari wa Tz wenzangu mmepigwa sana vyengaaa maana mlikuwa mkiamini uchaguzi wa kenya ni boraa sanaa

Kumbe matokeo yaliyokuwa yanayolewa na medias yalikuwa yana kinzana na ya IEBC hivyo ni wazi wange endelea bac wange sababisha machafuko mbeleni

Wa Tz tukumbuke nchi zilizo piga hatua ni zimepiga hatua tu, kuwa nankatiba nzuri lkn tabia ikiwa mbaya basi iyo katiba haikusaidii kitu Ng'oooooooo
 
Physical kivipi mkuu?;wakati zile zilikua scanned from the originals.

Matokeo hayatangazwi sababu sahivi IEBC inatoa matokeo ya Jimbo (Form 34 C) hivyo imerahisisha maana fomu zipo 200+ tofauti na Form 34A ambazo zipo 48k
Media zilikuwa zinajumlisha matokeo kupitia scanned forms. Lakini kuanzia Jana asubuhi wanazihakiki hizo form zinazoletwa physically kutoka kwa kaunti.

Sababu ya kutokutangaza siijui na lengo la uzi lilikuwa kupata jibu ya kulikoni matokeo hayatolewi tena.

Hivyo media haziruhusiwi kuaccess 34C?
 
Form 34A unaweza access hata ukiwa hapo kwako Vingunguti bora uko na internet. Sisi sio nchi ya kiimla na ya ukandamizaji Kama hiyo yenu
Hongereni saana wakuu....Nawaombea tu msije mkamfukuza huyu mzee kama mlivyomlazimisha Miguna Wa Miguna kupanda ndege kwenda Canada. Muwe na uchaguzi mwema.
 
Leo watajazana kusali utadhani watu
 

Attachments

  • IMG_20220813_172332_496.jpg
    IMG_20220813_172332_496.jpg
    36 KB · Views: 2
Back
Top Bottom